Hivi mkuu story iliishia wapi?Lege naomba niuzie kitabu cha queen monica
Kashaafilisika huyoo lg, hana storyAnayekumbuka iliishia wapi atukumbushe walau kidogo kabla Lege hajaanza kushusha mzigo.
Unamwaamini huyu jamaa?Alisema baada ya siku mbili tatu ataweka mzigo na leo ndo siku ya tatu so ikipita leo tunafunga ukurasa kwa kuamini kuwa tumedanganywa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu vitabu vya Tuwa huwa haviazimishwi kwasababu ukiazimisha hakirudi tena.
Ukihitaji vya Joram Kiango(Ben Mtobwa) au Willy Gamba( E Musiba ) nitakuazima lakini huyu Tuwa tutasameheana kidogo.🙂🙂
Huyo tuwa huyo mkuu ni kiboko ya uchafu and I hope you enjoy it to the maxmum...
Hivi mkuu wewe ndo hua huazimushi ee? [emoji2]
Duh ! Umenichosha roho na mwili ila poa mkuu ntakuja nikupange pm
Hukutakiwa kuongea kitu ulipaswa kufanya vitendo. Sasa hapo uliposema baada ya siku mbili tatu bado hujawa specific. Hata hivo stori ni yako, bando ni lako na muda ni wako wasi ku drive hawa na kama wanajiona wana uhuru wa kukuuliza NOT to that extent
bado anamuandaa monicaLege ukija hapa tena mikono mitupu ,,,,,,,,,
Dah! Bas mwambie aje nayebado anamuandaa monica