Hahaha next to impossible hapa mateja wengiKitu cha msingi tukubaliane tarehe yeyote ikifika tuache kuweka Comments kwenye hii page ,ili tuipotezee mazima!
Umeanza ujinga weweJamani muacheni lege hadi atakapokuwa tayari Kwani hamkumbuki story YA peniela alivyoimaliza baada YA CC kumlazimisha alete kama ilivyo bila kuifanyia editing?
So tuwe wapore ili tupate vitu vzr.
HALAFU MKUMBUKE lege HAKUOMBWA KULETA STORY ILA ALIAMUA KWA MAPRNZI YAKE HIVYO tusimpangie siku YA kupost.
Utani kidogo
Kwa hasira hiii aseeeeLege kama bashite vile [emoji16] [emoji16] [emoji16] na story lako hatulitaki tena baki nalo huko kwenu , tunakubembeleza utazani tunabembeleza binti kutolewa bikra waiiiiiiiiii[emoji418] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Sizitaki mbichi hiziLege kama bashite vile [emoji16] [emoji16] [emoji16] na story lako hatulitaki tena baki nalo huko kwenu , tunakubembeleza utazani tunabembeleza binti kutolewa bikra waiiiiiiiiii[emoji418] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Ipo jukwaa gani mkuu?Endeleeni kumsubiri lege, wenzenu tuna na Uwaridi nakula tu story kwa raha zangu,
Nakula Mkimbizi ya Hussein Tuwa saivi!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]