QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Kitu cha msingi tukubaliane tarehe yeyote ikifika tuache kuweka Comments kwenye hii page ,ili tuipotezee mazima!
Hahaha next to impossible hapa mateja wengi

Ila mkishindwa kuvuta subira vuteni hata sigara mumkomoe lege
 
Dahhh muda umefika sasa hii story tuimalizie wenyewe mpaka mwisho.
 
Jamani muacheni lege hadi atakapokuwa tayari Kwani hamkumbuki story YA peniela alivyoimaliza baada YA CC kumlazimisha alete kama ilivyo bila kuifanyia editing?
So tuwe wapore ili tupate vitu vzr.

HALAFU MKUMBUKE lege HAKUOMBWA KULETA STORY ILA ALIAMUA KWA MAPRNZI YAKE HIVYO tusimpangie siku YA kupost.

Utani kidogo
Umeanza ujinga wewe
 
Lege kama bashite vile [emoji16] [emoji16] [emoji16] na story lako hatulitaki tena baki nalo huko kwenu , tunakubembeleza utazani tunabembeleza binti kutolewa bikra waiiiiiiiiii[emoji418] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
Kwa hasira hiii aseeee
 
Sizitaki mbichi hizi
 
Hivi wakuu jamaa alisema siku mbili, tatu au wiki mbili, tatu?
 
Hivi wote humu ndani tukisema tumlaani lege kesho ataamka kweli? Kwa usalama wako lege leta stori
 
Endeleeni kumsubiri lege, wenzenu tuna na Uwaridi nakula tu story kwa raha zangu,

Nakula Mkimbizi ya Hussein Tuwa saivi!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Endeleeni kumsubiri lege, wenzenu tuna na Uwaridi nakula tu story kwa raha zangu,

Nakula Mkimbizi ya Hussein Tuwa saivi!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ipo jukwaa gani mkuu?
 
Back
Top Bottom