QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

maskini dr Marcelo sijui anaetaka kumuua n Daniel
 
mama monica sidhani toka amepata fahamu yule mama hajaenda
Yap..
Mama Monica aliiba file. Lakini kutaka kumuua anaweza akawa yule mwenye no alietakiwa amuelekeze jinsi ya kusoma kile kitabu. Yeye ndie anaejua uwepo wa hicho kitabu na thamani yake
 
Yap..
Mama Monica aliiba file. Lakini kutaka kumuua anaweza akawa yule mwenye no alietakiwa amuelekeze jinsi ya kusoma kile kitabu. Yeye ndie anaejua uwepo wa hicho kitabu na thamani yake
ngoja tusubili haya mambo ni makubwa
 
ngoja tuone atakachokifanya monica kwenda congo kwa zumo au kubaki na marcelo..?.. kazi inaanza austin anakuja....kwa kazi maalumu....
 
Sasa hapo naona panataka kunuka ngoja tuone maamuzi ya mwanadada Monica anamsaidiaje mshkaji?
 
Legeee I i wish nikutafute tutengenze movie au series ya hii story.
hiyo hadithi muibebe kama ilivyo kisha mumpelekee director JAMES CAMERON(au bollywood directors) aisome....akupeni na gharama za utengenezaji....ndio mfanye...
vinginevyo wacha ibaki kwenye maandishi......
 
Back
Top Bottom