QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

hakika week end sitowaangusha .maana hakuna starehe na furaha ya kweli isiyo na bugudha zaidi ya kusoma riwaya.

week end ndio hiyooo wacha tukeshe nayo
Shusha Season 2 yote.... Kesho Season 3, Jumapili Season 4.....

Weekend kwisha.
 
Naona kila mtu ameweka kikombe chake.
Haya nami npo kwa folen....
 
Inasikitisha sana kucancel mambo fulani ili usubirie story ya Monica, mwisho wa siku unaachwa Solemba...
 
Mnooooo!!! Peniela ni balaa, ilitaka kuniletea shida kazini, iliathiri sana ufanisi wangu katika kazi, maana sikuwa nalala masaa ya kutosha kwasababu ya Peniela. Nashukuru Mungu niliimaliza maana mmmmh!!
Hahaha
 
Back
Top Bottom