QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Wapenzi wenzangu wa stories za kijasusi mimi kwa upande wangu nikiwa namsubiri lege nataka nisome story nyingine ya kupotezea mda so plz nichagulieni mojawapo ila peniela nshaisoma na ilinitesa sana kwakweli , vipepeo weusi nayo tupo tunaisubiri , mke wa rais nishalamba au nisome baradhuki mwenye mikono ya chuma ? Je ni nzuri kama peniela au kama hii?
Soma Baradhuli ni kali kinyama, hutojuta mie naisoma pia
 
SEHEMU YA 66


KINSHASA – DRC
“ Monica samahani kama nitakufuru
lakini lazima nikiri kuwa Mungu ana
upendeleo .Kuna watu amewapendelea
uzuri wa kipeke kabisa.Mmoja wa watu
hao ni wewe .Una uzuri ambao hauelezeki
kwa maneno.Itoshe tu kusema kwamba
uzuri wako ni wa kipekee.Nitamshukuru
Mungu kwa siku zote kwa kunikutanisha
nawe.” Akasema David
“ Ahsante sana David lakini Mungu
hana upendeleo .Kwake sote ni sawa
hakuna mzuri wala mbaya.” Akasema
Monica .David akatabasamu akamshika
mkono wakaelekea katika chumba cha
chakula kwa ajili ya kupata kifungua
kinywa.Kabla hawajaanza kupata kifungua
kinywa mlango ukagongwa wakaingia
watu wanne walioonekana ni wana
usalama na nyuma yao akafuata Pauline
mke wa David Zumo.Monica alihisi aibu
lakini Pauline alionekana kuwa
mchangamfu na uso wenye
tabasamu.Akasalimiana kwanza na David
Zumo halafu akamfuata Monica
wakasalimiana na wote wakajumuika kwa
mlo ule wa asubuhi.Baada ya kupata
kifungua kinywa wakatoka wakaelekea
katika bustani nzuri iliyokuwa pembeni ya
ziwa dogo.Ulinzi ulikuwa mkali sana
kulizunguka jumba lile la kifahari la David
huku eneo lote likiwa na ukimya mkubwa
sana.Ni sauti za ndege ndizo
zilisikika.Waliketi katika viti vya kifahari
vyenye nakshi za dhahabu
“ Monica napenda kutumia fursa hii
kukukaribisha tena kwa mara nyingine
katika himaya hii ya kifalme.Ninasema ya
kifalme kwani muda si mrefu sana
nitatawazwa kuwa mfalme wa kwanza wa
Congo.Nadhani tayari nimekwisha kueleza
kuhusu jambo hii.” Akasema David huku
akitabasamu na kumgeukia mkewe
Pauline
“ Pauline leo ni siku ya furaha kubwa
kwetu kwani hatimaye maombi yetu
yamejibiwa .Monica amekubali ombi la
kuolewa nami.”akasema David na kwa
furaha Pauline akainuka na kumkumbatia
Monica kwa furaha
“ Ahsante Monica .Ahsante sana kwa
uamuzi
wako
huu
wa
busara.Nakuhakikishia hautajutia uamuzi
huu uloufanya.Binafsi nimetokea
kukupenda sana na nimeridhia kwa moyo
Huyu David na Paulina wanamchezea akili Monica, ni the Albertos!!!! [emoji36]
 
David ni Arbetos afu prezda amekwenda kinyume na matakwa yao wkt huo kuna conection ya bint wa prezda na mr prezda kpitia monie,wallah austin anashughul pevu japo naamin atawatafuna kiulainii.. Kupitia monie!LEGE ujaliwe nguvu utupie mzigo ipasavyo!ubarikiwe kwa kuleta burudani fundishi
 
Mashoga, wasagaji, na washirika wao sasa wamepatwa na mashaka
 
Back
Top Bottom