QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Lege kama utarejea jukwaani naomba usitoe sababu yoyote ya kukosekana kwako, ukifika hapa weka simulizi halafu kausha maana hizo sound unazotupiga zimetosha sasa
 
Mbona hiki kitabu cha queen monika nshakisoma choote,
Naweza kuendelea Alikoishia?
Wanaoafiki waseme ndioo!!
 
Mbona hiki kitabu cha queen monika nshakisoma choote,
Naweza kuendelea Alikoishia?
Wanaoafiki waseme ndioo!!
me nielekeze kinapohuzwa...
kuhusu kusema...mimi hapana...kuendeleza sio jukumu lako...
 
Dahhh LEGE kwani ukimpa mtu mwingine hizo episode aje nazo hapa kuna ubaya gani?
 
Lege alichokifanya, ni kama ameeatanua marinda.

Mmekuwa addicted kupitiliza, mmeshindwa kuacha. Kila saa kumlilia.
 
Jamani muacheni lege hadi atakapokuwa tayari Kwani hamkumbuki story YA peniela alivyoimaliza baada YA CC kumlazimisha alete kama ilivyo bila kuifanyia editing?
So tuwe wapore ili tupate vitu vzr.

HALAFU MKUMBUKE lege HAKUOMBWA KULETA STORY ILA ALIAMUA KWA MAPRNZI YAKE HIVYO tusimpangie siku YA kupost.



Utani kidogo
 
LEGE unataka tukutukane kwa hasira tuonekane wabaya na sisi hatukutukani sasa tunazid kukuvutia subraa
 
Lege kama bashite vile [emoji16] [emoji16] [emoji16] na story lako hatulitaki tena baki nalo huko kwenu , tunakubembeleza utazani tunabembeleza binti kutolewa bikra waiiiiiiiiii[emoji418] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
LEGE if there is anything wrong that needs material asistance to finish up this tale please notify me.
 
Kitu cha msingi tukubaliane tarehe yeyote ikifika tuache kuweka Comments kwenye hii page ,ili tuipotezee mazima!
 
Back
Top Bottom