QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Halafu Mukasha namfananisha na Dr Kigomba, kazi zao na tabia zinakaribiana
 
Mie Pedesheeeeh Zumo[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji384] [emoji384] [emoji384] [emoji384] [emoji389] [emoji389] [emoji389] [emoji389] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386]
 
Mkuu LEGE shughuli imefikia patamu......chonde chonde usituache muda mrefu mkuu.Kama vile mtu ujaangalia series
 
Mie Pedesheeeeh Zumo[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji384] [emoji384] [emoji384] [emoji384] [emoji389] [emoji389] [emoji389] [emoji389] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386]
Ha ha ha ha unawish eeeh co kwa utawala huu wa anko magu kifedha hata daniel umpati mjinga
 
Tatizo LEGE huwa unaziweka baada ya muda mrefu sana kupita Na hii inasababisha unapoweka episode nyingine tupate shida kukumbuka uhusika wa kila jina kwenye hiyo hadithi! Tunawasahau hadi tuanze ku-review tena ndio tuwakumbuke baadhi yao!
 
Hii story mpaka imefika season 4 watu hawajajipa uhusika tu?

Hata wa kujiita Austin hayupo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]


Mmoja ajitolee hata awe Dr Marcelo tu basi inatosha
Mkali wao Austin January hapa
 
Austin hajafa...maria na Austin mapenzi yao kwisha..job ataenda kwa Rais kumpa full story kuwa anayemwamini nae ni wale wale tu
Boaz na maria hawataishi kwa amani tena..Dr Marcelo atakuwa Dr wa rais .....
Swali kuu je? Albetos watafanikiwa mpango wao? Na VIP Rais atafanikiwa kuwaangusha Albetos?
Ep 4.....itakuwa na majibu
Boss lege lini tena itaendelea
 
dyuuu hatariiiii xana.....ila mkuu lege kasema tuvute subira.......wacha nianze kuivuta huku nikitathmin hali ya Austin na Dr.Marcelo aliyezimishwa....
Pia Dr.Marcelo hata Austin walikuwa wanamchukulia Maria aka Lily aka Shamim kuwa ni mzembe hasa alipozuga kwa kutetemeka pale alipofunguliwa mlango ili asijulikane kuwa naye kwenye martial arts yuko pouwa mbaya
 
Back
Top Bottom