QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Hivi hiki kiumbe bado kipo ulimwengu huu huu naoujua[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Haya habari yako
 
HAYA QUEEN MONICA SEASON 7 ISHATOKA WALE WAKULIPIA KALIPIENI.SIE WAKUSONEA JF HAPA MTUPISHE TUJIMWAGE.

story kusoma jf ni sawa na kwenda kuangalia mpira au kunywa bia bar kuna utamu wake.
Mkuu ulivyotangaza kuna mtu atalipia kweli..???[emoji15]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
HAYA QUEEN MONICA SEASON 7 ISHATOKA WALE WAKULIPIA KALIPIENI.SIE WAKUSONEA JF HAPA MTUPISHE TUJIMWAGE.

story kusoma jf ni sawa na kwenda kuangalia mpira au kunywa bia bar kuna utamu wake.
Nitumie kwa mkopo nitalipa mwisho wa mwezi
 
HAYA QUEEN MONICA SEASON 7 ISHATOKA WALE WAKULIPIA KALIPIENI.SIE WAKUSONEA JF HAPA MTUPISHE TUJIMWAGE.

story kusoma jf ni sawa na kwenda kuangalia mpira au kunywa bia bar kuna utamu wake.
Tuwekee basi Lege
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kama imetoka afadhali najua itawekwa hapa soon. Bora iwe ndo ya mwisho sasa ila LEGE ulituahidi stori mpya baada ya hii

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Habari yako ndugu.
Tunapenda kukujulisha kwamba riwaya ya
*QUEEN MONICA SEASON 7*
imetoka na unaweza kuipata.

Utatuwia radhi ndugu msomaji sehemu ya 7 haitakuwa ya mwisho kama tulivyoahidi hii ni kwa sababu kuna baadhi ya matukio yangeondolewa na kupunguza msisimko wa riwaya hivyo kutakuwa na sehemu ya 8 itakayokuwa ya mwisho ili uweze kupata kila tukio lililomo katika hadithi.
Ahsante.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
HAYA QUEEN MONICA SEASON 7 ISHATOKA WALE WAKULIPIA KALIPIENI.SIE WAKUSONEA JF HAPA MTUPISHE TUJIMWAGE.

story kusoma jf ni sawa na kwenda kuangalia mpira au kunywa bia bar kuna utamu wake.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] tunashukuru
Lege leta mambo
 
HAYA QUEEN MONICA SEASON 7 ISHATOKA WALE WAKULIPIA KALIPIENI.SIE WAKUSONEA JF HAPA MTUPISHE TUJIMWAGE.

story kusoma jf ni sawa na kwenda kuangalia mpira au kunywa bia bar kuna utamu wake.
Woyoooooo wa buku tatu mumesikia hivi bila lege mngemjua queen monica
 
Back
Top Bottom