QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

ni noumer
thanks Mbududa.
yani ukisoma mpaka mwili unasisimka...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we si umekataa kunihonga na uliinunua hiyo story ya queen shunie ukiiweka unitag nije kujionea
Aseeee kwa misele tuu ya huku hujambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushakuwa maalufu utafikiri mtunzi wa storii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na wewe vipiii mbona huku pia upo kila chimbo au nyani haonii
 
Si kwa misele hii, hivi hizi stori zingekuwa zinapatikana kwenye vibanda vya cinema ka enzi hizo, hafu zikaonyeshwa kumbi tofauti naamini mwenzetu ungekufa kwa misele,

Napoga picha tuu,
Ungeingia ukumbi huu nakuta haijanoga unarudi ukumbi ule unakuta haijaanza, unarudi ukumbi huu unakutana na watu wanatoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] unakimbilia ukumbe ule unakutana na watu pia wanatoka huku wakisimuliana[emoji23] [emoji23] yaani imeishaaaa
 
Ebu niache mie na acha kusoma basi mbona kila kwenye kila story upooo niache wengine story ndio starehe yetu tusipangiane
 
Kupaniki hakujawahi kumuacha shunie salamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cha kushangaza hua unaongea ukimaliza kusona,

Inaonekana hua unakiu kama ya mchungaji jangwani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ebu niache mie mfyuuuu unamsema shunie we mwenyewe kila story upo niache na ninavyopenda story ndio starehe yangu nyani haoni kunduleee wahenga hawakukosea kabisa nilipo upo
 
Umekasirika

Haya nenda pm nimekuwekea stori yoote, ili upunguze maumivu
 
Back
Top Bottom