Ella Fitzgerald
Member
- Mar 30, 2023
- 78
- 191
Unguja(Zanzibar) Kuna story kama hiyo enzi za ufalme wa kiarabu kulikuwa na Binti wa kiarabu anaitwa bi khole makumbusho yake yako Bungi yeye alikuwa anaingiliana nao kimwili watumwa wa kiume halafu anawachinja na kumbukumbu yake anakata kichwa Kwa historia nilivyosimuliwa baada ya kitembelea pale alikuwa anapanda miembe Kuna miembe zaidi ya mia upande wa kulia na kushoto mwa barabara.