Queen Nzinga, kiongozi wa Angola aliyewaoa vijana zaidi ya 80 na kuwaua baada ya kushiriki nao tendo

Queen Nzinga, kiongozi wa Angola aliyewaoa vijana zaidi ya 80 na kuwaua baada ya kushiriki nao tendo

Hizo articles zimeandikwa na nani? Unategemea Wareno wamuandike vizuri? Who has the power controls the knowledge and history. Historia rasmi ambayo tumefunzwa mashuleni nyingi ni magumashi tu...vivyo hivyo kwenye mavitabu yao haya ya dini!

Ni kweli Idd Amin alikuwa anakula watu? Ni kweli alikuwa na tabia ya kupasua wanawake wenye mimba na kutoa kichanga kikiwa hai ili tu kujifurahisha? Ni kweli alikuwa anazoa vilema na kwenda kuwatupa Ziwa Victoria ili waliwe na mamba na viboko?

Bila shaka unaelewa nataka kusema Nino. Aandikaye historia (ambaye kwa kawaida ni mwenye nguvu) ana uhuru wa kuifanya atakavyo!
Nadhani kama umeisoma articles yote utaona nimegusia point yako hapa
 
Back
Top Bottom