Ella Fitzgerald
Member
- Mar 30, 2023
- 78
- 191
Yaah mkuu ni makosa kidogo ya uandishi hapo, ilikuwa ni mwaka 1626Fact check, mkuu.
Kareebu mkuuπHalloooooo
Naam hadithi hii nami naifahamu vyema hususani pale ni nyumbaniUnguja(Zanzibar) Kuna story kama hiyo enzi za ufalme wa kiarabu kulikuwa na Binti wa kiarabu anaitwa bi khole makumbusho yake yako Bungi yeye alikuwa anaingiliana nao kimwili watumwa wa kiume halafu anawachinja na kumbukumbu yake anakata kichwa Kwa historia nilivyosimuliwa baada ya kitembelea pale alikuwa anapanda miembe Kuna miembe zaidi ya mia upande wa kulia na kushoto mwa barabara.
Yap; ila huwezi lala na malkia halafu ukaenda simulia wajinga wenzio malkia alivyo! Hutopata nafasi ya simulizi kamwe! Mimi nimejifunza Hilo.Nilichojifunza mwanamke hata aweje lazima kuna mtu wa kumkaza.
Yote yanawezekana maana kuna Art pia zinaclaim hivyoMh! yaleyale ya Idd Amin anakula nyama za watu, mzungu hajawahi kumuandika vizuri shujaa wa kiafrika
π π π πYap; ila huwezi lala na malkia halafu ukaenda simulia wajinga wenzio malkia alivyo! Hutopata nafasi ya simulizi kamwe! Mimi nimejifunza Hilo.
Kabisaa mkuuDunia imesheheni mengi, ambayo ni chakula cha ubongo.shukrani mtoa mada.
MbandeNzinga
Okey, Well
Miembe zaidi ya 300Unguja(Zanzibar) Kuna story kama hiyo enzi za ufalme wa kiarabu kulikuwa na Binti wa kiarabu anaitwa bi khole makumbusho yake yako Bungi yeye alikuwa anaingiliana nao kimwili watumwa wa kiume halafu anawachinja na kumbukumbu yake anakata kichwa Kwa historia nilivyosimuliwa baada ya kitembelea pale alikuwa anapanda miembe Kuna miembe zaidi ya mia upande wa kulia na kushoto mwa barabara.
Daah shukrani mkuu hebu lete ukweli ili tuchambue mbivu na mbichi.Uongo na uzushi: Queen Nzinga hakuwa muuaji na katili kiasi hicho hizo ni propaganda za wazungu kumchafua kama walivyo fanya kwa King of Kwazulu Natal
π€£π€£π€£Nilichojifunza mwanamke hata aweje lazima kuna mtu wa kumkaza.
π π ππ€£π€£π€£
Kuna article zinadai hili nadhani hata kwenye hii nyuzi nmegusia hapo kwenye paragraph mojawapoUongo na uzushi: Queen Nzinga hakuwa muuaji na katili kiasi hicho hizo ni propaganda za wazungu kumchafua kama walivyo fanya kwa King of Kwazulu Natal