Michungwani.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga Akipewa na kupokea zawadi ya chungu cha udogo na wananchi wa Michungwani wilaya ya handeni kama mfano wa kwenda kuwatengenezea maisha ya miloo mi 3 kwa siku, ambayo kwasasa kwao ni kama ndoto katika maisha yao ya kila siku.
View attachment 1611760View attachment 1611761