Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Akiwa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga

Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Akiwa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga

ADC Party

Member
Joined
Sep 14, 2020
Posts
28
Reaction score
29
Michungwani.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga Akipewa na kupokea zawadi ya chungu cha udogo na wananchi wa Michungwani wilaya ya handeni kama mfano wa kwenda kuwatengenezea maisha ya miloo mi 3 kwa siku, ambayo kwasasa kwao ni kama ndoto katika maisha yao ya kila siku.
FB_IMG_1603634384678.jpg
FB_IMG_1603634376266.jpg
 
Michungwani.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga Akipewa na kupokea zawadi ya chungu cha udogo na wananchi wa Michungwani wilaya ya handeni kama mfano wa kwenda kuwatengenezea maisha ya miloo mi 3 kwa siku, ambayo kwasasa kwao ni kama ndoto katika maisha yao ya kila siku.View attachment 1611760View attachment 1611761
Hongera Queen Sendiga kuteuliwa RC.
Pasco
 
Back
Top Bottom