Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
 
Wanashinda kuchati kwenye mitandao ya kijamii hadi usiku wa manane,kule ticktock...
 
Sisi ilikuwa jembe,jembe,mara kuchota maji na ndoo za vyuma,ndio maana hatuna shida na nguvu za kiume! Show show!
 
Usiombe utembelewe na mgeni mvivu ...anakera kila kitu aambiwe fanya hiki fanya kile ..tena mtoto wa kike wa aina hiyo ni mzigo kwa kweli
 
Back
Top Bottom