Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashaka yapo mengi hata Qur"an iko na makosa mengi na ndio maaana kuna zilizochomwa unafanya hatujuii kama kitu hakina mashak kuna aya nyingine zingechomwa kakaKuwa na mashaka nae haimaanishi ni shaka kweli, mara nyingi ni ujinga na uvivu wa kutaka kujua, kumbuka hapa naongelea dhati ya kitu chenyewe sio wewe unavyo kiona, elewe manebo.
Uwepo wa Mola Hauna mashaka kadhalika vitabu vyake havina mashaka. Sasa jua kutofautisha.
Onyesha mashaka yako wapi kwenye kitabu cha hesabu cha form 2Kutokuwa na shaka ni jambo kubwa sana, na ni miongoni mwa sababu zinazo fanya ikawa tofauti na vitabu vingine.
Unaposema kitabu Cha hesabu book 2 hakina shaka, kwa Kil chomp au kwa nakshi na mapambo mengine ? Kama kwa kilichomo hili najua huwezi kulithibitisha mpaka unakufa, na ndio kitu ulicho maanisha bila shaka.
Bali yanaweza kufanya uongo ukaonekana kuwa ni ukweli. Inaonekana unakurupuka sana katika kufikiri. Makubaliano ya watu wangapi yanaonekana kuwa kweli leo hii. Hivi huwa unajishughulisha na mambo ya kielimu ? Laws ngapi na theory ngapi za kisayansi zinaonekana ni za kweli lakini kiuhalisia ni uongo ?
Katika mada husika huwezi kuthibitisha hilo.
Unaweza kuniambia hayo makubaliano yaliyo fikiwa ni kwa dhana ? Hakikisha unachokiandika unakijua na kuweza kujitetea.
Kingine hakikisha unajua tofauti ya dhana na hakika, ninayo kuandika ni hakika na hakuna dhana.
Jimite kwenye mada na muktadha husika. Unaweza ukatoa mfano sahihi katika mahala usipo husika mfano huo na kuondoa maana.
Ongeza umakini.
Onyesha mashaka yako wapi kwenye kitabu cha hesabu cha form
😅 😅 😅Qur an ni kitabu kinacho elezea mambo yote ya sayansi kabla ya wavumbuzi kuzaliwa na ndio maisha tunayo ishi hasa kwanini tusiamini.
Nilikuambia unitajie historical facts baada ya hapo unipe na source.Umeuliza swali gani ? Au hujui uliuliza nini ?
Uma si kijiko ama ni nnMkuu nini maana ya Umma
Unajua waislamu hamnazo quruan ashushiwe muhamedi afuu Adam awe muislamu daaah inaingia kwa akiliMkuu nini maana ya Umma
Sorry naomba kwenye hii nipe reference siifahamu hii.Sawa,
Na vipi kuhusu tabiri alizo kuwa anatoa na kweli baada ya muda kadhaa zatokea
Mfano: (Fatihu Makka) ufunguzi wa Makka
Kwani wazee wa baraghashia wao wanasemajeUshawahi kusoma kufuatilia maandiko ya Vedas kutoka dini ya wahindu ambayo ni kongwe kuliko Islam?
Hizi hapa ni comparison of scientific facts kutoka vitabu viwili yani Quran na Vedas.
View attachment 3221963
Je ni kitabu kipi ambacho ni more accurate? Let the audiences judge.
1. Umbo la dunia: Sayansi inataja umbo la dunia kuwa ni duara kama tufe.
Vitabu hivi viwili ambavyo vinadaiwa vineandika habari za sayansi vinatoa majibu gani.
Quran inasema umbo la dunia ni flat wakati Vedas inasema ni duara.
View attachment 3221964
Hoja hii inatiwa mkazo kutoka kwenye aya zaidi ya moja katika kila kitabu.
View attachment 3221965
2. Dunia ni kitovu cha ulimwengu kilicho tulia na vitu vyote vilivyopo angani huvizunguka jua?
Majibu ya Sayansi kwenye hili swali yanasema dunia ndio hulizunguka jua.
Quran inasema ni jua ndio huzunguka dunia.
Wakati Vedas inaenda sawa na Sayansi kwa kusema dunia huzunguka jua.
View attachment 3221972
3. Mwanga wa mwezi
Kwa mujibu wa Sayansi mwanga wa mwezi kutokana na reflection ya jua.
Sayansi ya Quran inasema ni mwezi ndio unaotoa mwanga.
Vedas imeenda sawa na Sayansi.
View attachment 3221979
Aya zingine za msisitizo
View attachment 3221980
4. Ulimwengu unajongea au upo tuli?
Sayansi inaeleza kuwa ulimwengu una jongea (movable)
Kwa Sayansi ya Quran inasema ulimwengu upo fixed haujongei
Lakini Vedas imeenda sawa na Sayansi.
View attachment 3221983
5. Kuzama kwa jua
Sayansi inaeleza kuwa dunia inapojizungusha kwenye mhimili wake kutoka west kwenda east ndio tunapopata matokeo ya kuzama kwa jua.
Sayansi inafafanua kuwa position ya jua ipo fixed.
Tuangalie Quran yenyewe inasemaje kwenye hili
View attachment 3221986
Sayansi inatuambia jua linazama kwenye ukingo wa matope
Lakini Vedas inatoa maelezo yaleyale sawa na Sayansi.
6. Mzunguko wa maji
Sayansi inasema ni mchakato wa asili ambao huhusisha mabadiliko ya hali ya maji kutoka katika dunia hadi katika atmosphere na kurudi tena katika dunia.
View attachment 3221991
Quran inasema Mungu hushusha mvua kutoka kwenye mawingu na tena kwa vipimo maalum.
Lakini ukija kwenye Vedas utaona description ipo related na Sayansi.
Mpaka hapo utaona ni kitabu kipi chenye uhalali wa kusema kipo accurate na Sayansi.
Mmmmmmmh kwaiyoo hicho ndio kigezoo sioQuran haijawah kuguswa hata andish moja, toka ilipo asisiwa na bado wanasayansi hawataki kuiamin na ila Biblia wafalme wenye nyadhufa zao karne na karne wameibadilisha baadhi ya script ile iwe na manufaa kwao , Mara king James version mara nan sijui , mara Pope kakubali watu mashoga kanisan mpk uasema Daahh kweli mungu anakubali adhihakiwe, asa hii yote ya nn , huwez badilisha kweli na kweli iliowekwa na mungu......
Mungu hachezewi...
Sasa ndugu yangu toka we mwenyewe jaribu kufikiria tuu binaadam ni ninkigeu geu kwenye vitu vingi ila mpk kwenye maandish ya Mungu hapo sio alafu kwa nn atokee mtu mmoja aliechagukiwa na Binaadam wenzake awawakikishe kwa mungu , eti anaongea na mungu na mungu kakubali Watu waoane na kanisa lifungishe ndoa ya jinsia moja wakt from the bugging mungu alichukizwa na ushenzi huo reje Sodoma na Gomora,Mmmmmmmh kwaiyoo hicho ndio kigezoo sio
Hizo din zotee upuuzi sio uislamu sio ukristo niujingaaaa tuuSasa ndugu yangu toka we mwenyewe jaribu kufikiria tuu binaadam ni ninkigeu geu kwenye vitu vingi ila mpk kwenye maandish ya Mungu hapo sio alafu kwa nn atokee mtu mmoja aliechagukiwa na Binaadam wenzake awawakikishe kwa mungu , eti anaongea na mungu na mungu kakubali Watu waoane na kanisa lifungishe ndoa ya jinsia moja wakt from the bugging mungu alichukizwa na ushenzi huo reje Sodoma na Gomora,
Waislam tunaikubali biblia ila pale tu agano jipya lilipokuja kutengua agano la kale haoo ndo shida ilipoanza na kusema kuwa Yesu ni Mungu hapo tu ndio kwenye utata , Jesus atabaki kuwa nabii na mzee baba God atabaki kuwa yy mwenyewe hajazaa wala hajazaliwa short of storie....
Unapoint mzee ila jaribu kuangalia na fact , binadam lazima kdg tuwe na imani kuwa mungu yupo na siku ya mwisho ipo, hizi din mtu mweusi tumeletewa ila sasa fact iko wapi sikulazimishi usiwe na din au kuto kuaminin kama mungu yupo ila ni vzr kuwa na iman..Hizo din zotee upuuzi sio uislamu sio ukristo niujingaaaa tuu
Kusema dini ni upuuzi haimanishi sijuii mungu kama yupo mungu yupo ila sio kama uislamu na ukristo unavyotuelezaaa broo ila mungu yupoUnapoint mzee ila jaribu kuangalia na fact , binadam lazima kdg tuwe na imani kuwa mungu yupo na siku ya mwisho ipo, hizi din mtu mweusi tumeletewa ila sasa fact iko wapi sikulazimishi usiwe na din au kuto kuaminin kama mungu yupo ila ni vzr kuwa na iman..