Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Unapoint mzee ila jaribu kuangalia na fact , binadam lazima kdg tuwe na imani kuwa mungu yupo na siku ya mwisho ipo, hizi din mtu mweusi tumeletewa ila sasa fact iko wapi sikulazimishi usiwe na din au kuto kuaminin kama mungu yupo ila ni vzr kuwa na iman..
Kusema dini ni upuuzi haimanishi sijuii mungu kama yupo mungu yupo ila sio kama uislamu na ukristo unavyotuelezaaa broo ila mungu yupo
Inatosha kuamin...
Ni hivyoooo
 
Fact zipo nyingi dada angu Ukiangalia kwenye Utungaji wa mimba mpka mtoto anazaliwa, Quran inaeleza vizuri, Kwenye masuala ya Solar sytem na unajim Quran inaeleza vzri tuu, bado na pia mfumo mzima binaadam aishije pia quran inaeleza vizurii tuuu
 
Kwaiyoo kabla ya Qur'an watu walikuwa hawaishii sio
 
Simama kati kati kaka usitake mabishano tayari tushamaliza we baki na iman yako na mm nibak na iman yungu ,itoshe kisema ivyoo
Qur'an alitunga jamaaa .mmoja anaitwa mzee mudi afuu sasa akataka watu wamwamini yaaan Acha sasa kama km quruan imekamilika mnasema peponi kuna wanawake 73 kwa wanaume je wanawake wema watapewa nn
 
Hata wasinge thibitisha ndio iko hivyo,
Quruan imekuta maisha yameeendelea watu washajenga mpaka magorofa labda huko maka ndio kulikuwa hakuna maendeleoo Quruan imekuja na imewakuta wakina Aristotle pilato akina Jesus sasa useme etyy imegundua vitu haya imegundua nn Quruan
 
Nikuulize swali Quran ilishuka au kuandikwa lin au kipindi gani..!!?
 
Nikuulize swali Quran ilishuka au kuandikwa lin au kipindi gani..!!?
Sasa kama Jesus aliishi mika 5 bk na mudi alikuja 607 ad yaaan hata babu wa Muhammad hajazaliwa Jerusalem misri iko na maendeleo ugirik watu washaendeleaa leo useme quruan iligundua vitu una akili wewe
 
Back
Top Bottom