Qur-an description about the clouds

Mashaka yapo mengi hata Qur"an iko na makosa mengi na ndio maaana kuna zilizochomwa unafanya hatujuii kama kitu hakina mashak kuna aya nyingine zingechomwa kaka
 
Onyesha mashaka yako wapi kwenye kitabu cha hesabu cha form 2
 
Umeuliza swali gani ? Au hujui uliuliza nini ?
Nilikuambia unitajie historical facts baada ya hapo unipe na source.

Sijaona historical facts zaidi ya maandishi nisiyoyaelewa kugha yake ndio maana nikauliza hiki ni nini umeandika
 
Kwani wazee wa baraghashia wao wanasemaje
 
Quran haijawah kuguswa hata andish moja, toka ilipo asisiwa na bado wanasayansi hawataki kuiamin na ila Biblia wafalme wenye nyadhufa zao karne na karne wameibadilisha baadhi ya script ile iwe na manufaa kwao , Mara king James version mara nan sijui , mara Pope kakubali watu mashoga kanisan mpk uasema Daahh kweli mungu anakubali adhihakiwe, asa hii yote ya nn , huwez badilisha kweli na kweli iliowekwa na mungu......
Mungu hachezewi...
 
Mmmmmmmh kwaiyoo hicho ndio kigezoo sio
 
Mmmmmmmh kwaiyoo hicho ndio kigezoo sio
Sasa ndugu yangu toka we mwenyewe jaribu kufikiria tuu binaadam ni ninkigeu geu kwenye vitu vingi ila mpk kwenye maandish ya Mungu hapo sio alafu kwa nn atokee mtu mmoja aliechagukiwa na Binaadam wenzake awawakikishe kwa mungu , eti anaongea na mungu na mungu kakubali Watu waoane na kanisa lifungishe ndoa ya jinsia moja wakt from the bugging mungu alichukizwa na ushenzi huo reje Sodoma na Gomora,
Waislam tunaikubali biblia ila pale tu agano jipya lilipokuja kutengua agano la kale haoo ndo shida ilipoanza na kusema kuwa Yesu ni Mungu hapo tu ndio kwenye utata , Jesus atabaki kuwa nabii na mzee baba God atabaki kuwa yy mwenyewe hajazaa wala hajazaliwa short of storie....
 
Hizo din zotee upuuzi sio uislamu sio ukristo niujingaaaa tuu
 
Hizo din zotee upuuzi sio uislamu sio ukristo niujingaaaa tuu
Unapoint mzee ila jaribu kuangalia na fact , binadam lazima kdg tuwe na imani kuwa mungu yupo na siku ya mwisho ipo, hizi din mtu mweusi tumeletewa ila sasa fact iko wapi sikulazimishi usiwe na din au kuto kuaminin kama mungu yupo ila ni vzr kuwa na iman..
 
Kusema dini ni upuuzi haimanishi sijuii mungu kama yupo mungu yupo ila sio kama uislamu na ukristo unavyotuelezaaa broo ila mungu yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…