Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historical records ni nini?
Hujaainisha on specific way. Umesema tu bila kuziweka hapa wote tukaziona.
Wapi umeziweka ili kila mtu aone hayo maeneo ambayo umesema yana mashaka?
Sasa kama hujui kwanini unapinga kuwa dini ya kihindu sio kongwe kuliko uislamu?Sijui, niambie wewe ni nini ?
Mjinga n wewè na mudi
😅 😅 😅 😅Qur an ni kitabu kinacho elezea mambo yote ya sayansi kabla ya wavumbuzi kuzaliwa na ndio maisha tunayo ishi hasa kwanini tusiamini.
Kama umekisoma na kuziona hizo kasoro nimi kinakufanya ushindwe kuzibainisha kwa kuziweka hapa kila mtu azione?Unanipotezea muda, uliposema kuhusu kitabu cha book 2 Mathematics, ulijiandikia ilimradi tu au ?
Nenda kwenye hicho kitabu, kafungue hizo chapter, kisha ujibu maswali niliyo kuuliza ili uondoe mashaka niliyo kuwa nayo humo.
Sasa kama hujui kwanini unapinga kuwa dini ya kihindu sio kongwe kuliko uislamu?
Kama umekisoma na kuziona hizo kasoro nimi kinakufanya ushindwe kuzibainisha kwa kuziweka hapa kila mtu azione?
Fact hujatoa kwasababu ndizo zilzizokushinda mpaka ukafikia kukiri kuwa haujui.Swali zuri, nimekupa fact na marejeo.
Sasa kazi kwako uje kuthibitisha ya kuwa Dini ya Uhindu ni kongwe kuliko Uislamu.
Zingatia, uilete utoto kama unao uleta hapa na ujibu maswali ninayo kuuliza au niliyo kuuliza.
Swali lingine la ziada uje uonyeshe ya kuwa marejeo niliyo kuwekea sio Historical records, utuambie kwa misingi gani.
Lemme switch the questionNibainishe mara ngapi, nimekutajia Chapter na kuhusu nadharia zenyewe. Isiwe najadiliana na mtu ambaye hata hizo hesabu huzijui, ukawa unanipotezea muda tu kwa kutaja mambo ili mradi.
Ulipotaja kitabu, bila shaka ulikua nacho, nimekuainishia hizo fusuli, nenda uje uzihakiki hapa kwa kurejea msingi wa maswali niliyo kuuliza kuhusu hizo chapters.
Lemme switch the question
Mtu akikuambia Quran chapter ya 3-5 kuna mashaka.
Kwa kuongea hivyo mtu huyo anakuwa tayari ameonesha mashaka yaliyopo kwenye Quran?
Kwakuwa wewe hujaweka hizo chapter hapa ulizodai zina mashaka ili nasisi tujionee na kuthibitisha kuwa unachosema kuhusu mashaka yaliyomo ndani ya hicho kitabu ni kweli.Husomi nilichokiandika kijana, sijui sababu ya uoga au la ? Sikuhishia katika kutaja tu chapter, rejea kule nilipo kuuliza kuhusu hilo. Ongeza umakini.
Lakini pia huenda kuna muda mtu akamaanisha chapter zote kwa ujumla zina mashaka, kwahyo bado jambo lipo wazi zaidi.
Hajielewiii huyuuuKwakuwa wewe hujaweka hizo chapter hapa ulizodai zina mashaka ili nasisi tujionee na kuthibitisha kuwa unachosema kuhusu mashaka yaliyomo ndani ya hicho kitabu ni kweli.
Je akijitokeza mtu akakuambia nayo Quran katika idadi ya chapter hizo hizo namo pia kuna mashaka.
Mtu huyo atakuwa ametoa majibu ya kuonesha kweli Quran katika chapter hizo kuna mashaka?
Je atakuwa amethibitisha kuwa ni kweli Quran ina mashaka?
Kama jibu ni hapana, then nini kinachokufanya uone ukosoaji wako kuhusu kitabu kingine uchukuliwe kama ni hoja ya kweli?
Kwakuwa wewe hujaweka hizo chapter hapa ulizodai zina mashaka ili nasisi tujionee na kuthibitisha kuwa unachosema kuhusu mashaka yaliyomo ndani ya hicho kitabu ni kweli.
Je akijitokeza mtu akakuambia nayo Quran katika idadi ya chapter hizo hizo namo pia kuna mashaka.
Mtu huyo atakuwa ametoa majibu ya kuonesha kweli Quran katika chapter hizo kuna mashaka?
Je atakuwa amethibitisha kuwa ni kweli Quran ina mashaka?
Kama jibu ni hapana, then nini kinachokufanya uone ukosoaji wako kuhusu kitabu kingine uchukuliwe kama ni hoja ya kweli?
Je akijitokeza mtu akakuambia nayo Quran katika idadi ya chapter hizo hizo namo pia kuna mashaka.Unataka nikuwekee mara ngapi ? Kwanini unaandika uongo ?
Usiruke maswali niliyo kuuliza. Jibu maswali niliyo kuuliza ndio ulete yako.
Mwenye kutakiwa kujitoa mashaka ni wewe ambaye unadai hicho kitabu Cha hesabu hakina mashaka. Sasa nilitarajia hicho kitabu unacho, basi fanya kazi niliyo kupa.
Kama hujui pia sio vibaya kukiri hilo, kuliko kupoteza muda.
Sawa,Qur'an alitunga jamaaa .mmoja anaitwa mzee mudi afuu sasa akataka watu wamwamini yaaan Acha sasa kama km quruan imekamilika mnasema peponi kuna wanawake 73 kwa wanaume je wanawake wema watapewa nn
Kwani Nabii issa (yesu) si alifufua watu kwani kabla yake, Nabii Mussa mbona pia alifufua watu tena sio mmojaQuruan imekuta maisha yameeendelea watu washajenga mpaka magorofa labda huko maka ndio kulikuwa hakuna maendeleoo Quruan imekuja na imewakuta wakina Aristotle pilato akina Jesus sasa useme etyy imegundua vitu haya imegundua nn Quruan