Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Kuingia kwenye uislamu
Kuslim ni kujisalmisha kwa Allah na kunyenyekia na kutii

Haina maana Nabii Ibrahim hakuwa muislam bali alikuwa na utaratibu wake wa ibada.

Baada ya Mtume Muhammad kupewa utume ili bidi dunia nzima ifate utaratibu wake pamoja na yeye mwenyewe akiwemo,

Ndio Maana yeye alikuwa wa kwanza kutii na kunyenyekea (kwa umma wake),
 
Swali zuri, sababu nimeonyesha umashaka na kuhoji. Ili iwe si hoja unatakiwa sasa ujibu yale maswali yaliyo pelekea mimi kuwa na mashaka. Hili ni jambo rahisi sana.

Ni tamfafanunulia kwa kinaubaga na kumtoa mashaka hayo. Huku nikihojiana nae, akielewa sawa hasipo elewa kadhalika sawa.

Hapa sasa mimi ambae sina mashaka na Qur'an nitamuonyesha ya kuwa Qur'an yenyewe kwa dhati yake haina shaka. Nitamueleza Qur'an ni nini ? Imeandikwaje ? Na imekamilika lini na imepitia tabaka gani mpaka kuwa hivi leo.

Kadhallika ningemuonyesha ya kuwa Qur'an si tu haina shaka bali kwa dhati yake yenyewe ni muujiza ambao upo mpaka Kiyama kinasimama.

Kingine mimi si kuhishia tu kwenye kutaja chapter bali nilienda mbali na kujenga maswali. Sasa rudi kule nilipoanzia ili ujibu yale maswali.
Nataka kujua litakuwa ni jukumu la nani ku outline hizo area ambazo huyo mtu amedai kwenye hizo chapter kadhaa Quran ina mashaka?

Je litakuwa ni jukumu lako wewe au yeye ndiye anayepaswa kuweka nukuu ya hizo sehemu ambazo yeye amedai kuna mashaka?
 
Jadiliana na watu ambao wapo tayari kuelewa na Sio wale ambao wanataka kubishana mpendwa, usipoteze nguvu kwa kitu ambacho kilishasemwa

" Vipofu , viziwi ".

Qur'an ipo kwaajili ya ulul albaab, watu wenye kutumia akili na wenye fikra, kama huna fikra huwezi kuelezwa Qur'an.

Qur'an haihitaji kuthibitishwa na yoyote yule, Kila kitu kilishasemwa

"Ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake".

Kwahy atakaetaka kuifahamu Qur'an ataifahamu na kuielewa , na ambae atakaeisoma kwa kutafuta makosa ni hasara yake.

Kuna mmoja nimemuona anasema mbona Qur'an haijaeleza (A -Z) namna mvua inavyofanyika , zaidi imeweka consept.

Swali: Maprofesa Huwa wanafundisha vipi vyuo vikuu!?, Wanakuwekea Kila kitu dhahiri au unapewa consept research unafanya mwenyewe!?.

Ni sawa na wewe unatamani kupika biriani lakini hujui mahitaji yake, mtu akutajie mahitaji yote na namna ya kuliandaa, halafu ushindwe kulipika!?, Kisa hajaanza "inabidi Uende sokoni ukanunue mchele".

Ndomna Qur'an ikaja kwa watu wenye mazingatio na kutumia akili, ukishapewa consept kafanye research, sasa umepewa akili za nini kama unataka kutafuniwa Kila kitu!?.

Allah anajua amekupa akili na limit za akili zako anazijua , unao huo uwezo wa kuelewa na kufanya research ukipewa consept.

Mtoto wako wa miaka 5 huwezi kumpa ndoo kubwa abebe hiyo ni mbali na uwezo wake lakini mtoto wa miaka 20 unampa na anabeba kwakua uwezo wake wa kimwili unajua unaruhusu, kama wewe unaweza kujua limits za wanao , vipi aliyekuumba ashindwe kujua limits za akili Yako!?.

Kuruwan bado ina gaps nyingi sana. Swali moja tu naomba unijibu.
Wapi imeandikwa katika kuruwan kwamba mswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Pia mtumie majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic cuisine?
 
Kwaiyooo Muhammad kufanya mapenzi na mtoto mdogo ni mungu ndio kamwambiaa
 
Kuruwan bado ina gaps nyingi sana. Swali moja tu naomba unijibu.
Wapi imeandikwa katika kuruwan kwamba mswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Pia mtumie majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic cuisine?
Swali zur
 
Kuslim ni kujisalmisha kwa Allah na kunyenyekia na kutii

Haina maana Nabii Ibrahim hakuwa muislam bali alikuwa na utaratibu wake wa ibada.

Baada ya Mtume Muhammad kupewa utume ili bidi dunia nzima ifate utaratibu wake pamoja na yeye mwenyewe akiwemo,

Ndio Maana yeye alikuwa wa kwanza kutii na kunyenyekea (kwa umma wake),

Unaonekana unayaelewa haya mambo.
 
Hamna kituu hapooo sasa huyooo ibrahimu ameishi hata uislamu haupoo

Na kutokana na hilo la Ibrahamu. Nikiwauliza, kama uislam ulikuwepo kipindi hicho. Msingi wa imani yake ulikuwa nini? Maana hakukuwa na kuruwan, hadith wala sunnah za mtume. Wenyewe waliongozwa na nini. Hakuna ushahidi wowote unaoonesha kwamba Ibrahim alikuwepo. Hapa tunaongelea maandishi yaliyoandikwa kipindi cha akina Ibrahim, na siyo maandishi yaliyopatikana baada ya mtume kuanza kuwepo
 
Kuruwan bado ina gaps nyingi sana. Swali moja tu naomba unijibu.
Wapi imeandikwa katika kuruwan kwamba mswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Pia mtumie majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic cuisine?
Kila Mtume hupewa kitabu kwa lugha ya watu wake,

Hata Nabii Issa ni hivyo injili haikuandikwa kwa kiswahili.
mswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Hivi ingekuwaje Qur an kiarab halafu kuswali kila mtu na lugha yake

Kiufupi kutumia lugha moja waislam wote dunia ni kutufanya tuwe pamoja,

Hata ukiwa njee ya nchi yako kokote waweza tekeleza ibada na mkaelewana.

Kingine lugha ya kiarab ndio lugha fasaha zaidi na ina misamiati mingi
majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic
Hayo ni mapenzi ya mtu mwenyewe ila tu, mtoto asipewe jina baya.
 
Kisheliaaa mtuu anaaaziaa utu mzima akiwa na 18 years
 
Kila Mtume hupewa kitabu kwa lugha ya watu wake,

Hata Nabii Issa ni hivyo injili haikuandikwa kwa kiswahili.

Hivi ingekuwaje Qur an kiarab halafu kuswali kila mtu na lugha yake

Kiufupi kutumia lugha moja waislam wote dunia ni kutufanya tuwe pamoja,

Hata ukiwa njee ya nchi yako kokote waweza tekeleza ibada na mkaelewana.

Kingine lugha ya kiarab ndio lugha fasaha zaidi na ina misamiati mingi

Hayo ni mapenzi ya mtu mwenyewe ila tu, mtoto asipewe jina baya.
Kwaiyoo lugha yako ni mbaya kiarabu ndio kizuri
 
1. Kila Mtume hupewa kitabu kwa lugha ya watu wake,

2. Hata Nabii Issa ni hivyo injili haikuandikwa kwa kiswahili.

3. Hivi ingekuwaje Qur an kiarab halafu kuswali kila mtu na lugha yake

4. Kiufupi kutumia lugha moja waislam wote dunia ni kutufanya tuwe pamoja,

5. Hata ukiwa njee ya nchi yako kokote waweza tekeleza ibada na mkaelewana.

6. Kingine lugha ya kiarab ndio lugha fasaha zaidi na ina misamiati mingi

7. Hayo ni mapenzi ya mtu mwenyewe ila tu, mtoto asipewe jina baya.

1. Je ninyi ni watu wa jamii ya mtume au wa kipindi cha mtume?

2. Ilitafsiriwa. Je Kuruwan haiwezi kutafsiriwa?

3. Ingetafsiriwa kulingana na lugha inayotumika katika eneo husika, ili kila mtu aelewe kilichomo. Hiyo ni faida. Tofauti na sasa ambapo waislam wengi hawaelewi kilichoandikwa kwenye kurwan isipokuwa yale maneno machache ambayo huwa mnayarudia rudia kwa kuyaimba kila siku katika zile swala 5. Jambo ambalo si lenye afya kwa kutafakuli na kulisha ubongo.

4. Ndiyo lugha hutufanya tuwe wamoja ni kweli. Lakini linalowafanya watu wawe wamoja hata zaidi ni maudhui ya mafundisho, imani au itikadi. Kwa hiyo kitu kinachowaunganisha watu ni imani kwa muumba wao. Na si lugha. Kwa maana ukiangalia watu wanaokijua kiarabu cha kwenye kuruwan ambacho kinakufa kwa sababu kimepitwa na wakati ni wachache sana.

5. Mnaelewana kwa mambo au maneno yale machache mnayorudia rudia kila wakati. Lakini mtu akianza kuongea maneno mengi nje ya yale mnayokariri na kuimba, wengi hawata elewa. Ukweli ni kwamba waislam kwa idadi kubwa sana hawana vocaburaries (misamiati) mingi kwa sababu wao siyo native speakers wa kiarabu

6. Ni tafiti zinaonesha au ni hisia za waumini?

7. Wengi wanajihisi ni waumini safi ikiwa watatumia majina ya kiarabu. Hilo muarabu kafanikiwa sana. Hata kuna mmoja akawa ananiambia siku ya kiama wote mtajazana msikitini kujifunza kiarabu na kubadili majina yenu yawe ya kiarabu, ili mpata nafasi ya kuingia peponi.

Binafsi nikiwatazama namna yenu ya kuabudu, naona kwanza uarabu pamoja na mila, desturi na tamaduni zake. Baadaye ndiyo naiona dini. Hivyo dini imefichwa au kufungwa ndani ya uarabu.
 
Back
Top Bottom