jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kurwani ilisema je kuhusi IA,crypo currency?Hakuna kisicho zungumziwa
Leta ushahidi wa maandishi...laa sivyo endrlea kubongoa na kupiga sakafuni paji la uso.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kurwani ilisema je kuhusi IA,crypo currency?Hakuna kisicho zungumziwa
Kuingia kwenye uislamuNini maana ya kuslim
Kuslim ni kujisalmisha kwa Allah na kunyenyekia na kutiiKuingia kwenye uislamu
Nataka kujua litakuwa ni jukumu la nani ku outline hizo area ambazo huyo mtu amedai kwenye hizo chapter kadhaa Quran ina mashaka?Swali zuri, sababu nimeonyesha umashaka na kuhoji. Ili iwe si hoja unatakiwa sasa ujibu yale maswali yaliyo pelekea mimi kuwa na mashaka. Hili ni jambo rahisi sana.
Ni tamfafanunulia kwa kinaubaga na kumtoa mashaka hayo. Huku nikihojiana nae, akielewa sawa hasipo elewa kadhalika sawa.
Hapa sasa mimi ambae sina mashaka na Qur'an nitamuonyesha ya kuwa Qur'an yenyewe kwa dhati yake haina shaka. Nitamueleza Qur'an ni nini ? Imeandikwaje ? Na imekamilika lini na imepitia tabaka gani mpaka kuwa hivi leo.
Kadhallika ningemuonyesha ya kuwa Qur'an si tu haina shaka bali kwa dhati yake yenyewe ni muujiza ambao upo mpaka Kiyama kinasimama.
Kingine mimi si kuhishia tu kwenye kutaja chapter bali nilienda mbali na kujenga maswali. Sasa rudi kule nilipoanzia ili ujibu yale maswali.
Jadiliana na watu ambao wapo tayari kuelewa na Sio wale ambao wanataka kubishana mpendwa, usipoteze nguvu kwa kitu ambacho kilishasemwa
" Vipofu , viziwi ".
Qur'an ipo kwaajili ya ulul albaab, watu wenye kutumia akili na wenye fikra, kama huna fikra huwezi kuelezwa Qur'an.
Qur'an haihitaji kuthibitishwa na yoyote yule, Kila kitu kilishasemwa
"Ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake".
Kwahy atakaetaka kuifahamu Qur'an ataifahamu na kuielewa , na ambae atakaeisoma kwa kutafuta makosa ni hasara yake.
Kuna mmoja nimemuona anasema mbona Qur'an haijaeleza (A -Z) namna mvua inavyofanyika , zaidi imeweka consept.
Swali: Maprofesa Huwa wanafundisha vipi vyuo vikuu!?, Wanakuwekea Kila kitu dhahiri au unapewa consept research unafanya mwenyewe!?.
Ni sawa na wewe unatamani kupika biriani lakini hujui mahitaji yake, mtu akutajie mahitaji yote na namna ya kuliandaa, halafu ushindwe kulipika!?, Kisa hajaanza "inabidi Uende sokoni ukanunue mchele".
Ndomna Qur'an ikaja kwa watu wenye mazingatio na kutumia akili, ukishapewa consept kafanye research, sasa umepewa akili za nini kama unataka kutafuniwa Kila kitu!?.
Allah anajua amekupa akili na limit za akili zako anazijua , unao huo uwezo wa kuelewa na kufanya research ukipewa consept.
Mtoto wako wa miaka 5 huwezi kumpa ndoo kubwa abebe hiyo ni mbali na uwezo wake lakini mtoto wa miaka 20 unampa na anabeba kwakua uwezo wake wa kimwili unajua unaruhusu, kama wewe unaweza kujua limits za wanao , vipi aliyekuumba ashindwe kujua limits za akili Yako!?.
Kwaiyooo Muhammad kufanya mapenzi na mtoto mdogo ni mungu ndio kamwambiaaJadiliana na watu ambao wapo tayari kuelewa na Sio wale ambao wanataka kubishana mpendwa, usipoteze nguvu kwa kitu ambacho kilishasemwa
" Vipofu , viziwi ".
Qur'an ipo kwaajili ya ulul albaab, watu wenye kutumia akili na wenye fikra, kama huna fikra huwezi kuelezwa Qur'an.
Qur'an haihitaji kuthibitishwa na yoyote yule, Kila kitu kilishasemwa
"Ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake".
Kwahy atakaetaka kuifahamu Qur'an ataifahamu na kuielewa , na ambae atakaeisoma kwa kutafuta makosa ni hasara yake.
Kuna mmoja nimemuona anasema mbona Qur'an haijaeleza (A -Z) namna mvua inavyofanyika , zaidi imeweka consept.
Swali: Maprofesa Huwa wanafundisha vipi vyuo vikuu!?, Wanakuwekea Kila kitu dhahiri au unapewa consept research unafanya mwenyewe!?.
Ni sawa na wewe unatamani kupika biriani lakini hujui mahitaji yake, mtu akutajie mahitaji yote na namna ya kuliandaa, halafu ushindwe kulipika!?, Kisa hajaanza "inabidi Uende sokoni ukanunue mchele".
Ndomna Qur'an ikaja kwa watu wenye mazingatio na kutumia akili, ukishapewa consept kafanye research, sasa umepewa akili za nini kama unataka kutafuniwa Kila kitu!?.
Allah anajua amekupa akili na limit za akili zako anazijua , unao huo uwezo wa kuelewa na kufanya research ukipewa consept.
Mtoto wako wa miaka 5 huwezi kumpa ndoo kubwa abebe hiyo ni mbali na uwezo wake lakini mtoto wa miaka 20 unampa na anabeba kwakua uwezo wake wa kimwili unajua unaruhusu, kama wewe unaweza kujua limits za wanao , vipi aliyekuumba ashindwe kujua limits za akili Yako!?.
Swali zurKuruwan bado ina gaps nyingi sana. Swali moja tu naomba unijibu.
Wapi imeandikwa katika kuruwan kwamba mswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Pia mtumie majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic cuisine?
Kuslim ni kujisalmisha kwa Allah na kunyenyekia na kutii
Haina maana Nabii Ibrahim hakuwa muislam bali alikuwa na utaratibu wake wa ibada.
Baada ya Mtume Muhammad kupewa utume ili bidi dunia nzima ifate utaratibu wake pamoja na yeye mwenyewe akiwemo,
Ndio Maana yeye alikuwa wa kwanza kutii na kunyenyekea (kwa umma wake),
Hamna kituu hapooo sasa huyooo ibrahimu ameishi hata uislamu haupooUnaonekana unayaelewa haya mambo.
Hamna kituu hapooo sasa huyooo ibrahimu ameishi hata uislamu haupoo
Kila Mtume hupewa kitabu kwa lugha ya watu wake,Kuruwan bado ina gaps nyingi sana. Swali moja tu naomba unijibu.
Wapi imeandikwa katika kuruwan kwamba mswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Pia mtumie majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic cuisine?
Hivi ingekuwaje Qur an kiarab halafu kuswali kila mtu na lugha yakemswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Hayo ni mapenzi ya mtu mwenyewe ila tu, mtoto asipewe jina baya.majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic
Ndioo miaka 9 anata hedhiMtoto anaweza kupata damu ta hedhi
Kwaiyoo lugha yako ni mbaya kiarabu ndio kizuriKila Mtume hupewa kitabu kwa lugha ya watu wake,
Hata Nabii Issa ni hivyo injili haikuandikwa kwa kiswahili.
Hivi ingekuwaje Qur an kiarab halafu kuswali kila mtu na lugha yake
Kiufupi kutumia lugha moja waislam wote dunia ni kutufanya tuwe pamoja,
Hata ukiwa njee ya nchi yako kokote waweza tekeleza ibada na mkaelewana.
Kingine lugha ya kiarab ndio lugha fasaha zaidi na ina misamiati mingi
Hayo ni mapenzi ya mtu mwenyewe ila tu, mtoto asipewe jina baya.
1. Kila Mtume hupewa kitabu kwa lugha ya watu wake,
2. Hata Nabii Issa ni hivyo injili haikuandikwa kwa kiswahili.
3. Hivi ingekuwaje Qur an kiarab halafu kuswali kila mtu na lugha yake
4. Kiufupi kutumia lugha moja waislam wote dunia ni kutufanya tuwe pamoja,
5. Hata ukiwa njee ya nchi yako kokote waweza tekeleza ibada na mkaelewana.
6. Kingine lugha ya kiarab ndio lugha fasaha zaidi na ina misamiati mingi
7. Hayo ni mapenzi ya mtu mwenyewe ila tu, mtoto asipewe jina baya.
Mtoto wako wa miaka 9 unaweza kumuozesha kwa mzee wa miaka 54Kuanzia umri huwo ndio kama una watoto utanielewa zaidi