Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Mtu yoyote duniani anazaliwa akiwa muislam
Atakuwa vipi Muislamu bila kufuata misingi na kanuni ya uislamu??

Who is a Muslim​

Hizo nguzo ulizo zitaja hapo,
hata kabla mtume hajapewa utume hazikuwepo.
Sasa zilitoka wapi?? Jaribu kutumia akili kidogo.
 
kiufupi kila Nabii alikuwa anapewa utaratibu wake wa ibada huu ulioutaja ni wa Muhammad (s,a,w) sio wa Adam.
Tupe ushahidi wa aya kuhusu utaratibu wa ibada wa Adam.

Nb:Usitumie hisia na mahaba zaidi ,tumia akili ya kawaida.
 
Atakuwa vipi Muislamu bila kufuata misingi na kanuni ya uislamu??

Who is a Muslim​

Sasa zilitoka wapi?? Jaribu kutumia akili kidogo.
Zilitoka kwa Allah. Kupitia malaika wake Jibril

Kama bi Marian alivyo fatwa na Malaika kupewa khabari za ujauzito wake,
 
Sidhani kama hata unaelewa sayansi ni nini.
Science is the knowledge gained by practicing, viewing and trying the facts that have been proven have not been proven
 
Qur an 2: 29-37 Surat Al baqar
Samahani, hapa hakuna utaratibu wa ibada.Zaidi kuna maelezo kuhusu kuumbwa mpaka kuasi na kuomba msamaha.Kuomba msamaha ndiyo utaratibu wa ibada??

Nb:Tumia akili.
 
Tunachokosea ni kutaka kuprove science kutoka katika Quran, Quran ni kitabu Cha waumini sio Cha kulinganisha au kupiganisha na vingine kinajitegemea chenyewe hakihitaji hayo. Kingine hio science na elimu zote chanzo chake ni Mwenyezi Mungu ndio alimfundisha binadamu na viumbe vinginevyo vyote kwahio UNASEMA Quran ni ya Mwenyezi Mungu na science pia ni yake kilichofanyika katika Quran ni kutoa ishara TU na kumuhabarisha binadamu kuwa mfanyaji wa tunayoyaona yupo
 
Kama ni hivyo, kwanini waislamu wapo nyuma sana kiteknolojia? Mpaka sasa hakuna hata nchi ya kiislamu inayotengeneza simu.
Je, unaweza kufanya coding kwa kutumia lugha ya kiarabu?
 
Swali: Unaweza kuutenganisha uislamu na utamaduni wa kiarabu??
Maana ya uislam kilugha

Uislam ni kujisalimisha, kunyenyekea na kutii, Dini hii ndio unaitwa uislam misingi wa kusalumu amri za Allah na kuzitii.

Maana ya uislam kiistilahi

Ni njia ya maisha, mfumo wenye misingi ya imani na matendo ya kuwafanya watu wapate furaha duniani na Akhera.

Iliyotumwa na Allah na kufikishiwa watu kupitia mitume,

Uislam ni sheria ya kiungu inayowaongoza watu wenye akili kuelekea mambo mazuri kulingana na hiari zao.

Waarab ni watu ambao lugha mama yao ni kiarab wakijitambua vile

Wanaweza fata utamaduni wa dini yoyote
 
Kama ni hivyo, kwanini waislamu wapo nyuma sana kiteknolojia? Mpaka sasa hakuna hata nchi ya kiislamu inayotengeneza simu.
Je, unaweza kufanya coding kwa kutumia lugha ya kiarabu?
Waislam kuwa nyuma kiteknolojia haimanishi hio teknolojia chanzo chake si Mwenyezi Mungu, yeye ndio tunaamini ndio chanzo Cha elimu aliwafundisha binadamu na binadamu wote wa kwake awe Mzungu au mhindi, halafu Uislam sio lazima uwe nchi ya kiarabu Kuna waarabu wengi tu sio waislam Uislam unajitegemea Hata mhindi anaweza kua muislam na akanfanya makubwa sio lazima ucode Kwa kiarabu kuonyesha Uislam.
 
Uislamu umeazia wap kaka
 
Back
Top Bottom