Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
Sindio uongo jibu swali adamu alifunga aliswali alienda maka hujajibuuMaana ya uislam ni kujisalimisha kwa Allah.
Mtu yoyote duniani anazaliwa akiwa muislam hata kama wazazi wake sio waislam baada ya hapo,
Wazazi wake ndio wanaamua kumbatiza na nk. Ili kumuingiza katika dini yao.
Hizo nguzo ulizo zitaja hapo,
hata kabla mtume hajapewa utume hazikuwepo.
Zililetwa taratibu mpaka zika kamilika, kiufupi kila Nabii alikuwa anapewa utaratibu wake wa ibada huu ulioutaja ni wa Muhammad (s,a,w) sio wa Adam.