Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Maana ya uislam ni kujisalimisha kwa Allah.

Mtu yoyote duniani anazaliwa akiwa muislam hata kama wazazi wake sio waislam baada ya hapo,

Wazazi wake ndio wanaamua kumbatiza na nk. Ili kumuingiza katika dini yao.

Hizo nguzo ulizo zitaja hapo,
hata kabla mtume hajapewa utume hazikuwepo.

Zililetwa taratibu mpaka zika kamilika, kiufupi kila Nabii alikuwa anapewa utaratibu wake wa ibada huu ulioutaja ni wa Muhammad (s,a,w) sio wa Adam.
Sindio uongo jibu swali adamu alifunga aliswali alienda maka hujajibuu
 
Tunachokosea ni kutaka kuprove science kutoka katika Quran, Quran ni kitabu Cha waumini sio Cha kulinganisha au kupiganisha na vingine kinajitegemea chenyewe hakihitaji hayo. Kingine hio science na elimu zote chanzo chake ni Mwenyezi Mungu ndio alimfundisha binadamu na viumbe vinginevyo vyote kwahio UNASEMA Quran ni ya Mwenyezi Mungu na science pia ni yake kilichofanyika katika Quran ni kutoa ishara TU na kumuhabarisha binadamu kuwa mfanyaji wa tunayoyaona yup

Mkuu you ur ignorant katika masuala ya uislamu, hata Muhammad saw uislamu aliukuta anasema mwenyewe alifuata dini ya nabii Ibrahimu
Ni muongo amewadanganya,hakufuata dini ya Ibrahim,manake huyo ibra hakuwahi hata na kuwa 4
 
Qur an ni kitabu kinacho elezea mambo yote ya sayansi kabla ya wavumbuzi kuzaliwa na ndio maisha tunayo ishi hasa kwanini tusiamini.
Kati ya Quran na Aristotle, Archimedes, Pythagoras, Hipparchus ni nani alianza kuwepo?

Quran imeanza kuandikwa mwaka 609AD wakati hao wanasayansi walishagundua vitu vingi na kuja na theories na principles kibao miaka mingi kabla ya kristo (BC)
 
Qur'an imekuja hata afrika tushaelimika kitambo sana Qur'an ni ya juzi juzi tuu mwaka 60Ad
 
Kati ya Quran na Aristotle, Archimedes, Pythagoras, Hipparchus ni nani alianza kuwepo?

Quran imeanza kuandikwa mwaka 609AD wakati hao wanasayansi walishagundua vitu vingi na kuja na theories na principles kibao miaka mingi kabla ya kristo (BC)
Na kuheshima sanaa ila sidhani kama unaweza usijue Renaissance re birth of knowledge ulikuepo mwaka gani? Sawa tuambie Bc waligundua nini mkuu?
 
Na kuheshima sanaa ila sidhani kama unaweza usijue Renaissance re birth of knowledge ulikuepo mwaka gani? Sawa tuambie Bc waligundua nini mkuu?
Kwaiyoo wataka useme vitu vyote vimegunduliwa na Qur'an kaka
 
Back
Top Bottom