Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ndio maana hata wale wasio amini kama kuna maisha baada ya kifo,Kwa mfano kuhusu roho,binadamu anapofariki,Qur'an imesema,hata watu wawe mbele ya mgonjwa,na roho inatoka,lakini haionekani ikitoka,mpaka leo,hakuna mwanasayansi,aliyeweza kuiona roho,ikitoka.Qur"an inasema,Wanakuuliza kuhudu roho,waambie hiyo ni elimu,ambayo hamkupewa na Mungu,na elimu mliopewa ni chache.
Yapo mambo mengi,wanasayansi yamewashinda,wanabaki kusema,ni mabadiliko ya tabia nchi,au ugonjwa usiojulikana.
Hili swali nili jibu huku juu,1: Naomba ushahidi kuhusu uislamu alioufanya Adam kwa kupitia nguzo kuu na nguzo za imani za uislamu.
2:Kupitia historia ya Adam na mtume unahisi nani alikuwa muislamu??
Pia kwenye king James imeandikwa hivi.Watakuja wa wa king james kuleta panic zao
Nini maana ya uislamHawezi kukupa ushahidi ety adamu muislamu wap adamu alienda msikitini huoo sindio uongo wa Qur'an
HawakuwepoHapana,
Kwani wadhani kabla ya Muhammad waislam hawa kuwepo.
Usidanganywe na hizo hadithi. Hakuna mtu ambae hakuwa na namna ya mawasiliano either kuandika au kuongea.Sawa sikupingi
Muhammad ambae ameshushiwa Qur an usha hisoma historian yake.
Kiufupi sayansi ambayo iko kwenye Qur an imefundishwa na mtu ambae hajui kusoma wala kuandika hajawai kugundua chochote, wala kufanya jitihada zozote za kutafuta elimu aliwezaje kuyajua hayo.?
Mkuu mvua ya mawe inatokana na nini?Mawingu ni mkusanyiko wa Molekuli au Mvuke fuwele utokanao na maji au kemikali mbalimbali, unaelea angani juu ya uso wa dunia.
Suratul Nur 24:43
Je! Huoni ya kwamba m/mungu huya sukuma mawingu kisha huyaumbatisha, kisha huyafanya mirundi? Basi utaona mvua ikitoka kati yake na huteremsha kutoka juu kwenye mlima.
Ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakae na akamuepusha nayo amtakae, Hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho. Qur-an 24:43
Vimawingu (mirundi ya mawingu) hivi vinapo jiunga pamoja na kujitengeneza kuwa wingu moja kubwa sana
Kuelekea juu kiwima wima (vertically) hali hii husababisha wingu hilo, kujipoza na kwa hali hiyo hutengeneza kitu kinacho itwa (Hail),
Unyevunyevu wa baridi na huwa na maji maji hayo huendelea kukua na kuwa binge kubwa sana, Mfano wa barafu kubwa.
Bonge hilo la unyevu na maji yanapo kuwa mazito sana nguvu ya mvutano husababisha bonge hilo la mchanganyiko wa unyevu na maji uliotengeneza wingu kushuka chini polepole na husababisha mvua.
Pamoja na unyevunyevu Mwezi mungu anaeleza habari hizi katika Qur an.
Aya hiyo baada ya kutaja mawingu na mvua ya maji inazungumzia mvua ya mawe na radi..... " Na huteremka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, .... "
Watafiti wa hali ya hewa wamekuta kuwa mawingu hata Cumulonimbus hufikia kimo cha futi 25,000 mpka 30,000 (mail4.7 hadi 5.7) kama milima,
Kama Qur an ilivyo sema...
" Na huteremka kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe "
Aya hii inaweza kuleta swali.
Kwanini Aya inasema mvua ya mawe? Je, ina maanisha kuwa mvua ya mawe ndicho kipengele kile kinachosemwa na kitabu kiitwacho Meteorology Today juu ya jambo hili
Kweli kwa wakat ule hakukuwa na wajanja akawaokotaUsidanganywe na hizo hadithi. Hakuna mtu ambae hakuwa na namna ya mawasiliano either kuandika au kuongea.
Halafu vitu vingine ni natural phenomena tu ambazo mtu anaweza ku observe.
Muhammad aliweza kuwachuuza sana kwa kuwa alijua watu wengi hawana uelewa wa mambo akapita humo humo.
Mudi alikuwa genius sana kuamua kuwafanya watu waamini mungu wake.
Ni sawa na mtu ambae alisha observe misimu (seasons) akawa na rekodi kisha ukikaribia msimu wa mvua anaita wanazengo anawaambia mungu amenionyesha mvua zitanyesha siku sio nyingi na kweli mvua zinakuja wanamuona ni mtume sijui nabii kumbe ni kanjanja tu aliejua kujiongeza
Leta hoja na ushahidi uache chuki za dini ya uislamu, its unstoppable wewe utakufa utaiacha huenda wajukuu wako wakasilimu kwahiyo punguza chuki dhidi ya waidlamu na uislamu.MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUAMINI KITABU CHA UPUUUU
MBAAAVVVUUU KIASI HICHOO
Sawa,Usidanganywe na hizo hadithi. Hakuna mtu ambae hakuwa na namna ya mawasiliano either kuandika au kuongea.
Halafu vitu vingine ni natural phenomena tu ambazo mtu anaweza ku observe.
Muhammad aliweza kuwachuuza sana kwa kuwa alijua watu wengi hawana uelewa wa mambo akapita humo humo.
Mudi alikuwa genius sana kuamua kuwafanya watu waamini mungu wake.
Ni sawa na mtu ambae alisha observe misimu (seasons) akawa na rekodi kisha ukikaribia msimu wa mvua anaita wanazengo anawaambia mungu amenionyesha mvua zitanyesha siku sio nyingi na kweli mvua zinakuja wanamuona ni mtume sijui nabii kumbe ni kanjanja tu aliejua kujiongeza
Kuabudu ni niniSamahani, hapa hakuna utaratibu wa ibada.Zaidi kuna maelezo kuhusu kuumbwa mpaka kuasi na kuomba msamaha.Kuomba msamaha ndiyo utaratibu wa ibada??
unfurl="true"]https://quran.com/en/al-baqarah/29-39[/URL]
Nb:Tumia akili.
Samahahi, jaribu kutumsindio uongo wa Qur'an
Hujajibu swali coz aya uliyotoa inaonyesha uumbwaji wa Adam, alivyoasi na kuomba msamaha na siyo utaratibu mzima wa kufanya ibada.Hili swali nili jibu huku juu,
Kila Mtume ana sheria zake jinsi ya kutekeleza ibada ya kumuabudu Mola wake.
JuaJua linazama kwenye matope meusi. Je, ni kweli?
abuduKuabudu ni nini
Alikuwa mkuraishiMtume alikuwa kabila gani ,hilo kabila lina vinasaba vipi??
KiarabQuran imetumia lugha ipi??
Nabii suleima alikuwa na wake 700 na masuria 300kuwa na wake wengi