Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Kwa mfano kuhusu roho,binadamu anapofariki,Qur'an imesema,hata watu wawe mbele ya mgonjwa,na roho inatoka,lakini haionekani ikitoka,mpaka leo,hakuna mwanasayansi,aliyeweza kuiona roho,ikitoka.Qur"an inasema,Wanakuuliza kuhudu roho,waambie hiyo ni elimu,ambayo hamkupewa na Mungu,na elimu mliopewa ni chache.
Yapo mambo mengi,wanasayansi yamewashinda,wanabaki kusema,ni mabadiliko ya tabia nchi,au ugonjwa usiojulikana.
Hakika ndio maana hata wale wasio amini kama kuna maisha baada ya kifo,

Huwa twatoa mfano mdogo wa usingizi,

Kuota ndoto mbaya wakimbizwa hakuna anaehisi chochote isipokuwa muotaji.
 
1: Naomba ushahidi kuhusu uislamu alioufanya Adam kwa kupitia nguzo kuu na nguzo za imani za uislamu.

2:Kupitia historia ya Adam na mtume unahisi nani alikuwa muislamu??
Hili swali nili jibu huku juu,

Kila Mtume ana sheria zake jinsi ya kutekeleza ibada ya kumuabudu Mola wake.

Hizo nguzo za imani za uislam ni muongozo aliopewa Mtume Muhammad pamoja na umma wake sio Nabii Adam
 
Watakuja wa wa king james kuleta panic zao
Pia kwenye king James imeandikwa hivi.

Hawezi kukupa ushahidi ety adamu muislamu wap adamu alienda msikitini huoo sindio uongo wa Qur'an
Nini maana ya uislam

Ni kujisalimisha kwa Allah na kunyenyekea na kutii

Sheria ya swala za faradh kwa wanaume kuswaliwa msikitini ili anza kutumika kipindi cha mtume Muhammad (s,a,w) na sio Nabii Adam
 
Sawa sikupingi

Muhammad ambae ameshushiwa Qur an usha hisoma historian yake.

Kiufupi sayansi ambayo iko kwenye Qur an imefundishwa na mtu ambae hajui kusoma wala kuandika hajawai kugundua chochote, wala kufanya jitihada zozote za kutafuta elimu aliwezaje kuyajua hayo.?
Usidanganywe na hizo hadithi. Hakuna mtu ambae hakuwa na namna ya mawasiliano either kuandika au kuongea.

Halafu vitu vingine ni natural phenomena tu ambazo mtu anaweza ku observe.

Muhammad aliweza kuwachuuza sana kwa kuwa alijua watu wengi hawana uelewa wa mambo akapita humo humo.

Mudi alikuwa genius sana kuamua kuwafanya watu waamini mungu wake.

Ni sawa na mtu ambae alisha observe misimu (seasons) akawa na rekodi kisha ukikaribia msimu wa mvua anaita wanazengo anawaambia mungu amenionyesha mvua zitanyesha siku sio nyingi na kweli mvua zinakuja wanamuona ni mtume sijui nabii kumbe ni kanjanja tu aliejua kujiongeza
 
Mawingu ni mkusanyiko wa Molekuli au Mvuke fuwele utokanao na maji au kemikali mbalimbali, unaelea angani juu ya uso wa dunia.

Suratul Nur 24:43

Je! Huoni ya kwamba m/mungu huya sukuma mawingu kisha huyaumbatisha, kisha huyafanya mirundi? Basi utaona mvua ikitoka kati yake na huteremsha kutoka juu kwenye mlima.

Ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakae na akamuepusha nayo amtakae, Hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho. Qur-an 24:43

Vimawingu (mirundi ya mawingu) hivi vinapo jiunga pamoja na kujitengeneza kuwa wingu moja kubwa sana

Kuelekea juu kiwima wima (vertically) hali hii husababisha wingu hilo, kujipoza na kwa hali hiyo hutengeneza kitu kinacho itwa (Hail),

Unyevunyevu wa baridi na huwa na maji maji hayo huendelea kukua na kuwa binge kubwa sana, Mfano wa barafu kubwa.

Bonge hilo la unyevu na maji yanapo kuwa mazito sana nguvu ya mvutano husababisha bonge hilo la mchanganyiko wa unyevu na maji uliotengeneza wingu kushuka chini polepole na husababisha mvua.

Pamoja na unyevunyevu Mwezi mungu anaeleza habari hizi katika Qur an.

Aya hiyo baada ya kutaja mawingu na mvua ya maji inazungumzia mvua ya mawe na radi..... " Na huteremka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, .... "

Watafiti wa hali ya hewa wamekuta kuwa mawingu hata Cumulonimbus hufikia kimo cha futi 25,000 mpka 30,000 (mail4.7 hadi 5.7) kama milima,

Kama Qur an ilivyo sema...
" Na huteremka kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe "

Aya hii inaweza kuleta swali.
Kwanini Aya inasema mvua ya mawe? Je, ina maanisha kuwa mvua ya mawe ndicho kipengele kile kinachosemwa na kitabu kiitwacho Meteorology Today juu ya jambo hili
Mkuu mvua ya mawe inatokana na nini?
 
Usidanganywe na hizo hadithi. Hakuna mtu ambae hakuwa na namna ya mawasiliano either kuandika au kuongea.

Halafu vitu vingine ni natural phenomena tu ambazo mtu anaweza ku observe.

Muhammad aliweza kuwachuuza sana kwa kuwa alijua watu wengi hawana uelewa wa mambo akapita humo humo.

Mudi alikuwa genius sana kuamua kuwafanya watu waamini mungu wake.

Ni sawa na mtu ambae alisha observe misimu (seasons) akawa na rekodi kisha ukikaribia msimu wa mvua anaita wanazengo anawaambia mungu amenionyesha mvua zitanyesha siku sio nyingi na kweli mvua zinakuja wanamuona ni mtume sijui nabii kumbe ni kanjanja tu aliejua kujiongeza
Kweli kwa wakat ule hakukuwa na wajanja akawaokota
 
MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUAMINI KITABU CHA UPUUUU
MBAAAVVVUUU KIASI HICHOO
Leta hoja na ushahidi uache chuki za dini ya uislamu, its unstoppable wewe utakufa utaiacha huenda wajukuu wako wakasilimu kwahiyo punguza chuki dhidi ya waidlamu na uislamu.
 
Usidanganywe na hizo hadithi. Hakuna mtu ambae hakuwa na namna ya mawasiliano either kuandika au kuongea.

Halafu vitu vingine ni natural phenomena tu ambazo mtu anaweza ku observe.

Muhammad aliweza kuwachuuza sana kwa kuwa alijua watu wengi hawana uelewa wa mambo akapita humo humo.

Mudi alikuwa genius sana kuamua kuwafanya watu waamini mungu wake.

Ni sawa na mtu ambae alisha observe misimu (seasons) akawa na rekodi kisha ukikaribia msimu wa mvua anaita wanazengo anawaambia mungu amenionyesha mvua zitanyesha siku sio nyingi na kweli mvua zinakuja wanamuona ni mtume sijui nabii kumbe ni kanjanja tu aliejua kujiongeza
Sawa,

Na vipi kuhusu tabiri alizo kuwa anatoa na kweli baada ya muda kadhaa zatokea

Mfano: (Fatihu Makka) ufunguzi wa Makka
 
Jua linazama kwenye matope meusi. Je, ni kweli?
Jua
Lina urefu wa maili 864,000 (kilomita 1,391,000) Hii ni takriban mara 109 ya kipenyo cha Dunia.

Uzito wa jua ni karibu mara 333,000 kuliko Dunia, Ni kubwa sana hivi, kwamba sayari za zipatazo 1,300,000 zinaweza kutoshea ndani yake.

Haiingii akilini kusema lazama kwenye matope meusi.

Hiyo hoja kwamba la zama kwenye matope meusi ime nukuliwa kwenye Qur an 18:83-101 Suratul Al- kahf

Allah alipo kuwa akimsimulia Dhul-qarnain. Na sio kwamba et Allah amesema jua lazama kwenye matope.

ujoka
 
Kuabudu ni nini
abudu

omba au fanya ibada kwa unyenyekevu mkubwa, hasa kwa Mungu

Swali langu limejikita zaidi kwenye mchakato mzima wa Adam kufanya:

sala

1:
ibada maalumu katika dini ya Uislamu inayochanganya visomo na vitendo fulani k.v. kurukuu na kusujudu na ambayo ni lazima kutekelezwa; mojawapo ya nguzo tano za Uislamu

2: maombi kwa Mwenyezi Mungu

Mtume alikuwa kabila gani ,hilo kabila lina vinasaba vipi??
Alikuwa mkuraishi
Quran imetumia lugha ipi??
Kiarab
kuwa na wake wengi
Nabii suleima alikuwa na wake 700 na masuria 300

Nae alikuwa mwarab?

Hao waarab (Makuraishi) walikuwa wa kwanza kumpinga mtume mpaka Baba zake wadogo walimpinga.

Injili hapo zamani ndio kitabu kilicho mtabiri mtume wa mwisho na kutaja sifa zake, hata Bakhira alipo muona tu alimtambua tofauti na hao waarab wenzie walio mlea.
 
Back
Top Bottom