Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Guess work na confirmation bias tu. It doesn't mean anything. Kama wataalamu wa science wangesema mvua ni mkojo wa kobe mkubwa anayeelea angani basi wafia dini wangetafuta sababu ya kusema kitabu chao nacho kinasema hivyo.
 
Kuruwan bado ina gaps nyingi sana. Swali moja tu naomba unijibu.
Wapi imeandikwa katika kuruwan kwamba mswali kwa kiarabu katika swala zenu?
Pia mtumie majina ya kiarabu? Mjenge misikiti kwa design ya waarab? Mpike chakula kama arabic cuisine?
Kuruani ni aina ya chakula au mmea au kiumbe gani.
Mimi leo ndio nasoma hilo jina.

Pili kabla hatujajibu lolote nataka nikukumbushe tu kuwa bila waarabu we mkerewe mpk leo usingejua kuna lugha ya KISWAHILI.

Hilo jina unalotumia kutukania waarabu 'na lenyewe la kiarabu.
Yaani kifupi wewe bila waarabu hata hapa JF usingepajua.

Kuweni ba shukuruni japo kidogo enyi wanakondoo mliopotea
 
Jibu zile hoja, acha kukiabudu kiarabu. Kiarabu ni lugha tu. Pia waarabu ni race tu. Hakuna kitu special hapo.
Usiwe kama wale wenzio ambao nao wamefanywa upofu kwa kusema Israel ni taifa teule.
 
Back
Top Bottom