Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Bible iliandika kitambo tu kabla ya mudi kuja
Kama kweli iliandika hvo je ilitoa hitimisho gani?, au ili fumbua vp hilo fumbo?, hapo ndipo Quran inapobeba ushindi tena wa wazi wazi,

Rejea Qur-an na mafunzo ya mtume ili kuweka uwiano na kuondosha uchafu yapaswa mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ili wengine wasikose waume ila kwa sheria ya ki kristo LAZIMA wanawake watakosa wakuwaoa
 
Hata ulichoandika hakieleweki
Nafikiri sio kwamba haeleweki bali wewe hujamuelewa.Anamaanisha wakati quran inaandika hiyo aya vipi idadi ya wanaume na wanawake ilikuwa na uwiano gani?Maaana yake labda wanawake walikuwa idadi sawa na wanaume au wanaume ni wengi zaidi au ilikuwaje ili tulinganishe isije ikawa hilo uloandika lilikuwa hivyo tangu nyakati hizo.
 
Swali lko la kwanza niletee huo ushahidi ulosema tutapewa mabikra 72

Hlf swali la pili jibu lake ni hili hapa
( هُمْ وَأَزْوَاجُهُمْ فِي ظِلَالٍ عَلَى الْأَرَائِكِ مُتَّكِئُونَ )

يس (56) Yaseen

Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.

( hapa Aya inasema kua waume na wake zao watakua wameegemea kwenye vitu vya fakhari ,Aya hii yaonesha kua waume na wake zao walokua nao duniani wataingizwa pamoja peponi) kma hujui ulisemalo ni bora unyamaze tu kijana jazba au hasira sio suluhisho la matatizo yko

( لَهُمْ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ )

يس (57) Yaseen

Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
Malizia na pombe mbona hilo husemi
 
Kama kweli iliandika hvo je ilitoa hitimisho gani?, au ili fumbua vp hilo fumbo?, hapo ndipo Quran inapobeba ushindi tena wa wazi wazi...
Hivi kwa takwimu zilizopo mkioa wanne wote watapata wake kweli?Nahisi ilimu Yako kumkichwa bado
 
Hivi kwa takwimu zilizopo mkioa wanne wote watapata wake kweli?Nahisi ilimu Yako kumkichwa bado
Unaona sasa, mkuu ata nilicho maanisha haukijui sasa hapa zero brain ni mimi au wewe?,

Mkuu nyie wakristo ndio mumeambiwa kuoa mke mmoja tu , sisi ni zaidi ya mmoja, sasa ki hesabu na uwezo viwe sawa yaani wapo watakao oa 2, wengine 3 na hadi 4 pia watakuwepo ili hesabu zitimie
 
Mbona huo mstari haujasema wanawake ni wengi kuliko wanaume. Mstari umesema wanaume na wanawake wengi, yaani ni sawa na kusema nilianza na ng'ombe dume na jike lakini Kwa sasa Nina madume na majike mengi.
Hawa jamaa ni wakuonewa huruma tu maana hapa duniani kwasasa takwimu zinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake sasa sijui hata wanaongelea nini. Quran imejaa ubabaishaji mtupu.
 
Wapi hapo panaonyesha wanawaķe ni wengi kukiko wanaume? "Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. " kama ni hapo basi maana yake kutokana na wawili watu wengi waume kwa wanawake wakapatikana. Acha kupaka Rangi inekane kuna kitu kipya hapo. Hayo yalishaandikwa hata kabla Muhamad hajazaliwa. waambie maamuma wenzio upuuzi huyo.
 
Haki hua inachelewa tu kujulikana ila haipotei

Hii mijadala inoendelea humu ndani hufanya watu wengi wakapitie Qur'ani na kujidhihirishia kua ni kweli au uongo kinachoongelewa.

Bahati Nzuri Qur'an haisemi Uongo na mwisho wake hupelekea watu kuukubali ukweli tu
Hivi Quran inaposema jua linazama kwenye matope inasema ukweli ama uongo?

Quran inaposema mwezi na jua ni majirani wanafikia hatua ya kuombana chumvi inasema ukweli ama uongo?
 
Swali lko la kwanza niletee huo ushahidi ulosema tutapewa mabikra 72

Hlf swali la pili jibu lake ni hili hapa
( هُمْ وَأَزْوَاجُهُمْ فِي ظِلَالٍ عَلَى الْأَرَائِكِ مُتَّكِئُونَ )

يس (56) Yaseen

Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.

( hapa Aya inasema kua waume na wake zao watakua wameegemea kwenye vitu vya fakhari ,Aya hii yaonesha kua waume na wake zao walokua nao duniani wataingizwa pamoja peponi) kama hujui ulisemalo ni bora unyamaze tu kijana jazba au hasira sio suluhisho la matatizo yko

( لَهُمْ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ )

يس (57) Yaseen

Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
Huu ndio ushahidi wa wazi kwamba uislamu ni dini ya kitapeli. Ni kwamba allah haelewi lugha nyingine ama ni nini, maana kila maandishi ni kiarabu kiarabu.
 
Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume "

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ

الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Sijaona jinsi uwingi wa wanawake ulivyoelezwa hapo.Nifafanulie.
 
Ukweli ni kwamba Katika Uislam, Mwanamke hana thamani yeyote ile, ndio maana Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam watakaoingia peponi watapewa nini
Quran kukataza mwanamke kuonyesha maungo yake ua mwili ndy kutokuwa na thamani Kwa mwanamke?

Mwanamke ni wa kumstarehesha mumewe tu.

Haya mambo mengine ni kujitafutia matatizo.
 
Ndio maana Africa itabaki Maskini milele. We tend to glorify our differences more than those aspects that unifies us.

Kila kukicha mada ni: Quran Vs Biblia, Muhammad Vs Yesu, Ukristo Vs Uislamu.

Yaani sisi tunachojua ni UDINI kila siku..
Na dhumuni la kuleta dini ni kuvuruga umoja wetu na walifanikiwa sana unakuta vijana mashababi kabisa hawawazi la maana zaidi ya kwenda peponi cha ajabu viongozi wanakwiba wageni wakija wanakwiba mali zetu sisi kazi yetu ni kubishana nani ni bora kati ya Muhammad na Yesu wakati huo huo wachawi na walizi hawapungui tena wanajua siti za mbele huko kanisani na mstari wa mbele huko msikitini piga picha usukuman makanisa kama yote uchawi kwanza mwisho nenda pwani kuanzia tanga all the way to mtwara ambako uislam umetamalaki lakini ulozi mazongo kubamizana mabusha ndio kawaida na swala tano kama kawa
 
Haki hua inachelewa tu kujulikana ila haipotei

Hii mijadala inoendelea humu ndani hufanya watu wengi wakapitie Qur'ani na kujidhihirishia kua ni kweli au uongo kinachoongelewa.

Bahati Nzuri Qur'an haisemi Uongo na mwisho wake hupelekea watu kuukubali ukweli tu
Nakazia
 
Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume "

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ

الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Bull shit,total crap,upuuzi mtupu,sehemu gani alielezea kuwepo kwa tweeter,Facebook,Whatsapp?hayo ndio mambo mapya,swala la kuongezeka watu haliitaji akili kubwa,hata mtoto wa la kwanza anajua watu wanaongezeka kila siku.
 
Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume "

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ

الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Sipingani na Mtume kujua au kutokujua, ila hii ni issue ya kawaida hata kwa wanyama wote. Kama wewe ni mfugaji wa Kuku utafaham kwamba kama kuna mayai 10, majogoo yaweza kuwa 2 au 3. Kama unafuga mbwa, vivyo hivyo, katika uzao wote wa ng'ombe, ngamia etc, ni rahisi kuzaliwa majike kuliko madume. Hivyo ndivyo nature ilivyo hata kwa wanadam, na wala sio jambo la ajabu kuweza kulielewa.
 
Back
Top Bottom