Kwa Nini Muhammad aliiba character wa wayahudi akafanya wake ? Na akawabadili wawe waislamu?Mkuu mbona lipo wazi tu hilo , bibilia ni kitabu chenye madhaifu lukuki , unaweza chukua vitabu vyote vya dini ukivijumuisha ukashindanisha na Qur-an basi lazima upigwe zauso , hebu angalia dini ya uislamu ilivyo simplify mambo ya kijamii tena ki busara zaidi huwezi kutoka ktk imani nyingine mfano mdogo chukua suala la kuoa(ndoa) ktk uislamu na ukristo ndio utajua kuwa uislamu upo complete
Mkuu tuseme ukweli vitabu vyote vya dini vina mapungufu makubwa mamb mengi tu kwny Quran yako wrong n kama hypothesis za kisayansi walkua na idea but wako wrong ila ukijudge Ili kwny udini utaona liko sahihi mfano Quran inakataza kuzin Aya mme mmoja wake wanne Aya angalia ratio apo how this is possible af kusiwe na uzinzi ila ukisoma kidin utasema sio kila mtu lazima aoe wanne n kwa mwenyw uwezo kuwamudu lakin vipi kila mtu akiwezaMkuu mbona lipo wazi tu hilo , bibilia ni kitabu chenye madhaifu lukuki , unaweza chukua vitabu vyote vya dini ukivijumuisha ukashindanisha na Qur-an basi lazima upigwe zauso , hebu angalia dini ya uislamu ilivyo simplify mambo ya kijamii tena ki busara zaidi huwezi kutoka ktk imani nyingine mfano mdogo chukua suala la kuoa(ndoa) ktk uislamu na ukristo ndio utajua kuwa uislamu upo complete
Yapi yako wrong katika Qur'an mkuuMkuu tuseme ukweli vitabu vyote vya dini vina mapungufu makubwa mamb mengi tu kwny Quran yako wrong n kama hypothesis za kisayansi walkua na idea but wako wrong ila ukijudge Ili kwny udini utaona liko sahihi mfano Quran inakataza kuzin Aya mme mmoja wake wanne Aya angalia ratio apo how this is possible af kusiwe na uzinzi ila ukisoma kidin utasema sio kila mtu lazima aoe wanne n kwa mwenyw uwezo kuwamudu lakin vipi kila mtu akiweza
Jua Lina zama kwenye chemchem ya matope ok chukulia kisayansi io hypothesis n true or falseYapi yako wrong katika Qur'an mkuu
Jua Lina zama kwenye chemchem ya matope ok chukulia kisayansi io hypothesis n true or false
Jua linazunguka Dunia?
Jua na mwez viko sawa?
Kumbuka Alie sema anatakiwa awe mungu na si binadamu, alikuwa anatoa story jamaa alikuta jua linapozamiaView attachment 2414588
Simple logic tu
Mkuu ikiwa kauli yako hapo ipo juu ni sahihi basi uwezo wako wa kufikiri ni duni sana hebu fikiria ikiwa wanaume wawili watamuoa mwanamke mmoja na hyo mwanamke azae mtoto , je hyo mtoto baba atakuwa nani kati ya hao wanaume wawili?, yaani automatically it'simpossible kwa sababu baba ni mbegu hvo mwanaume kuoa mke zaidi ya 1 ni matakwa ya munguMkuu tuseme ukweli vitabu vyote vya dini vina mapungufu makubwa mamb mengi tu kwny Quran yako wrong n kama hypothesis za kisayansi walkua na idea but wako wrong ila ukijudge Ili kwny udini utaona liko sahihi mfano Quran inakataza kuzin Aya mme mmoja wake wanne Aya angalia ratio apo how this is possible af kusiwe na uzinzi ila ukisoma kidin utasema sio kila mtu lazima aoe wanne n kwa mwenyw uwezo kuwamudu lakin vipi kila mtu akiweza
Mkuu hebu jaribu kufikiria kidogo na kuelewa kidogo juu ya hoja yako ;Jua Lina zama kwenye chemchem ya matope ok chukulia kisayansi io hypothesis n true or false
Jua linazunguka Dunia?
Jua na mwez viko sawa?
Character yupi aliye muiba?, alafu mkuu usisahau kuwa hao mayahudi walilaaniwa , pia hao mayahudi ndio waliomuua yesu pia usisahau yesu alishindwa vibaya kwa mujibu wa bibilia yenyewe maana walimuua mchana kweupe ila nisamehe mkuuKwa Nini Muhammad aliiba character wa wayahudi akafanya wake ? Na akawabadili wawe waislamu?
Mkuu mkuuJua Lina zama kwenye chemchem ya matope ok chukulia kisayansi io hypothesis n true or false
Jua linazunguka Dunia?
Jua na mwez viko sawa?
😂😂😂Kwahiyo ni sahihiView attachment 2414588
Simple logic tu
Basi hiyo ni sahii kwa uarabuni sio mtu wa morogoro umwambie ivoMkuu mkuu
Kwahiyo hayo ndo umeona makosa?
Huo ni uelewa mbaya lakini Qur'an haina kosa lolote.
Imesemwa jua limezama katika chem chem nyeusi,Ile ni Bahari nyeusi/black sea
Sehemu jua lilipokuwa linakuchwa ilikuwa ni upande WA baharini,na kwakuwa dunia ni duara basi wakati jua linazama Kwa Masafa ya mbali unaliona kana kwamba linazama baharini kwakuwa lipo uelekeo ule na hiyo ndo maana yake mkuu.
Kwahiyo kama hayo ndo ulichukulia kuwa makosa basi ujue wewe ndio umeelewa vibaya.
Shukrani
Sio sahihi kivipi mkuu?Basi hiyo ni sahii kwa uarabuni sio mtu wa morogoro umwambie ivo
Hahahaha mkuu ndo maana nkauliza mtu wa morogoro unamwambiaje Ivo akuelewe akat sio wote wanaona ivo Aya mm nasema jua linazama miliman bishaSi
Sio sahihi kivipi mkuu?
Hivi wewe umeshawahi kukaa maeneo ya ziwani au baharini,kama ndio je jua likizama linaonekaje Kwa mbali,kama haukai maeneo hayo basi sikulaumu sio kosa lako.
Shukrani.
Anae ongea kwenye Koran ni Allah alitakiwa aseme kweli ,Si
Sio sahihi kivipi mkuu?
Hivi wewe umeshawahi kukaa maeneo ya ziwani au baharini,kama ndio je jua likizama linaonekaje Kwa mbali,kama haukai maeneo hayo basi sikulaumu sio kosa lako.
Shukrani.
Bora umenisaidia mkuu kwanini azungumzie watu wa sehemu moja tuAnae ongea kwenye Koran ni Allah alitakiwa aseme kweli ,
Kumbuka mpaka Muhammad kasisitiza jua tusipo liona linakuwa limeenda kusujudu kwenye kiti Cha Allah na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji
Imesimuliwa Abu Dharr:Si
Sio sahihi kivipi mkuu?
Hivi wewe umeshawahi kukaa maeneo ya ziwani au baharini,kama ndio je jua likizama linaonekaje Kwa mbali,kama haukai maeneo hayo basi sikulaumu sio kosa lako.
Shukrani.
Mkuu pia vipi jua na mwezi kuzunguka Dunia hii imekaaje nayo af Kuna mtu amepinga et tunatumia elimu ya google akat yeye kafundshwa na astadhi wamtaani tu sijui kama ni factSi
Sio sahihi kivipi mkuu?
Hivi wewe umeshawahi kukaa maeneo ya ziwani au baharini,kama ndio je jua likizama linaonekaje Kwa mbali,kama haukai maeneo hayo basi sikulaumu sio kosa lako.
Shukrani.
Imesimuliwa Abu Dharr:Si
Sio sahihi kivipi mkuu?
Hivi wewe umeshawahi kukaa maeneo ya ziwani au baharini,kama ndio je jua likizama linaonekaje Kwa mbali,kama haukai maeneo hayo basi sikulaumu sio kosa lako.
Shukrani.
Wapo kwa sababu ya ushabiki wanakataa lugha iliyoandikwa ndani ya quran sio kiarabu mpaka unashangaa wanachokataa!Tatizo ni kua waislam kitu kikisha husu uislam huezi discuss nao ata kiwe na mapungufu Gani. Angalau wa kristo Kuna mda wanakaa wanaona ivi vitu haviko sawa ula upande wa pili yn ni ushabiki hawatakiw tumia utashi wao