Kwa Nini Muhammad aliiba character wa wayahudi akafanya wake ? Na akawabadili wawe waislamu?Mkuu mbona lipo wazi tu hilo , bibilia ni kitabu chenye madhaifu lukuki , unaweza chukua vitabu vyote vya dini ukivijumuisha ukashindanisha na Qur-an basi lazima upigwe zauso , hebu angalia dini ya uislamu ilivyo simplify mambo ya kijamii tena ki busara zaidi huwezi kutoka ktk imani nyingine mfano mdogo chukua suala la kuoa(ndoa) ktk uislamu na ukristo ndio utajua kuwa uislamu upo complete