Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Unaweza kudhibitisha kwa maandishi kuwa jua na Mwezi kuzunguka dunia?Mkuu pia vipi jua na mwezi kuzunguka Dunia hii imekaaje nayo af Kuna mtu amepinga et tunatumia elimu ya google akat yeye kafundshwa na astadhi wamtaani tu sijui kama ni fact
Acha porojo mkuuWapo kwa sababu ya ushabiki wanakataa lugha iliyoandikwa ndani ya quran sio kiarabu mpaka unashangaa wanachokataa!
MokitiImesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Allah karuhusu unafiki?kama karuhusu endelea kuwa mnafiki.. Umewahi kumsikia Hata Papa Wa RC akizungumza Habari za utume au unabii Wa Mohamad?
Nenda Kwa mwamposa Sijui Kwa nani Atakuambia alienda mpaka kuzimu na akaambiwa au akaona mambo MENGI lakini huwezi kumsikia akizungumza Habari za Mohamad.
Umewahi KUSOMA Korani au Hadithi za Mtume Hata Chache ukaangalia uongo wake au ukweli wake?
Wakristo wengi wanakosa hoja mana hawajui Biblia Wala Korani Wanabaki kusema Mohamad sio Mtume Lakini HAWANA hoja.
Hivyo kumtambua Muhammad kama Mtume au kutomtambua hakuna MAANA Yoyote mana wao wamesimama kwenye Sheria za Musa. Na watapimwa kwenye mizani hiyo.
Hata huko Iran kwa tabia yenu ya kijilipua wengi wameachana na uislam.Unamkatazaje mtu asihoji imani yako kama sio upimbi?Kwa staili hii ya kuendelea kuupaka matope Uislam ndo inafanya watu makini kutaman kuujua ukweli.
Allah akuondolee husda.
Kwa hiyo waislamu mmeandika uzushiMokiti
Nadhan unajua kabisa unacholeta hapa ni uzushi
Je unategemea ushirikiano toka kwangu?
Mada nzuri ila hawawezi kukuelewa mkuuKwa Nini Muhammad aliiba character wa wayahudi akafanya wake ? Na akawabadili wawe waislamu?
Hapa nilichokielewa ni kwamba haikuwa na maana kwamba wanawake ni wengi ila ni kwamba wote hao wanaume na wanawake ni wengi. Ni hivi "wanaume na wanawake wengi" ni sawa na kusema "Masanja anafuga ng'ombe na mbuzi wengi" ....sasa hapo haimanishi ng'ombe ni wachache na mbuzi ni wengi ila ni kwamba hilo neno wengi limejumuisha hao ng'ombe na mbuzi kwamba ni wengi..Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume "
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ
الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Tangu lini nikakukimbia wewe,Kwa hoja gani ulizo nazo?Kwa hiyo waislamu mmeandika uzushi
Alafu unakimbiliaga mpaka Kuni block kwenye nuzi zako unakwepa ukweli
Acha kupotosha unaelewa maana ya matopeni?Mkuu mkuu
Kwahiyo hayo ndo umeona makosa?
Huo ni uelewa mbaya lakini Qur'an haina kosa lolote.
Imesemwa jua limezama katika chem chem nyeusi,Ile ni Bahari nyeusi/black sea
Sehemu jua lilipokuwa linakuchwa ilikuwa ni upande WA baharini,na kwakuwa dunia ni duara basi wakati jua linazama Kwa Masafa ya mbali unaliona kana kwamba linazama baharini kwakuwa lipo uelekeo ule na hiyo ndo maana yake mkuu.
Kwahiyo kama hayo ndo ulichukulia kuwa makosa basi ujue wewe ndio umeelewa vibaya.
Shukrani
Naona kuna mpuuzi mwingine kajitokezaAcha kupotosha unaelewa maana ya matopeni?
Mwamba watu tupo hapa kufatilia mjadala hamna kupiga kimya, unataka kukataa Hadith ni kwamba unashindwa kuzitetea ama ni vipi! Zote zenu fafanua bila kuchokaTangu lini nikakukimbia wewe,Kwa hoja gani ulizo nazo?
Sana Sana nitapiga kimya nikuache na upuuzi wako.
Lete hoja toka Qur'an na sio hadith,Qur'an ndio msingi mama
Kama huna andiko uwe na siku njema
Hadith nyingi ni uzushiMwamba watu tupo hapa kufatilia mjadala hamna kupiga kimya, unataka kukataa Hadith ni kwamba unashindwa kuzitetea ama ni vipi! Zote zenu fafanua bila kuchoka
Sura 36:37-40 inasema, "Na ishara yao ni usiku: Tulijitoa pale toka mchana, na tazama wakazamishwa kwenye giza; 38 na jua linafuata mkondo wake wa kawaida kwa muda liliopangiwa; hii ni amri yake (yeye), aliyeinuliwa kwenye nguvu, yeye ajuaye vyoteUn
Unaweza kudhibitisha kwa maandishi kuwa jua na Mwezi kuzunguka dunia?
Maana vinginevyo zitakuwa porojo tu
Hili lipo wazi mbona,wanabisha mpaka kutaka kupigana na aya unawapa wanaikataa.Acha porojo mkuu
Kuna shida sehemu Lete hoja ujibiwe
Hicho ndicho mnachoweza matusi basi.Naona kuna mpuuzi mwingine kajitokeza
Hayo ni matusi au nakuambia upuuzi ulio naoHicho ndicho mnachoweza matusi basi.
Kama wanaikataa basi ujue wapo sahihi kwasababu itakuwa sio AyaHili lipo wazi mbona,wanabisha mpaka kutaka kupigana na aya unawapa wanaikataa.
Ayo mambo ya kusadikia hayapo kwenye Quran? Au Kuna vitu hamvifati?Hayo ni matusi au nakuambia upuuzi ulio nao
Lete hoja weka mezani tujadili lkn sio unaongea mambo ya kusadikika
Kama huo sio upuuzi ni nini?