Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Un
Mkuu pia vipi jua na mwezi kuzunguka Dunia hii imekaaje nayo af Kuna mtu amepinga et tunatumia elimu ya google akat yeye kafundshwa na astadhi wamtaani tu sijui kama ni fact
Unaweza kudhibitisha kwa maandishi kuwa jua na Mwezi kuzunguka dunia?

Maana vinginevyo zitakuwa porojo tu
 
Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Mokiti

Nadhan unajua kabisa unacholeta hapa ni uzushi

Je unategemea ushirikiano toka kwangu?
 
. Umewahi kumsikia Hata Papa Wa RC akizungumza Habari za utume au unabii Wa Mohamad?

Nenda Kwa mwamposa Sijui Kwa nani Atakuambia alienda mpaka kuzimu na akaambiwa au akaona mambo MENGI lakini huwezi kumsikia akizungumza Habari za Mohamad.
Umewahi KUSOMA Korani au Hadithi za Mtume Hata Chache ukaangalia uongo wake au ukweli wake?
Wakristo wengi wanakosa hoja mana hawajui Biblia Wala Korani Wanabaki kusema Mohamad sio Mtume Lakini HAWANA hoja.

Hivyo kumtambua Muhammad kama Mtume au kutomtambua hakuna MAANA Yoyote mana wao wamesimama kwenye Sheria za Musa. Na watapimwa kwenye mizani hiyo.
Allah karuhusu unafiki?kama karuhusu endelea kuwa mnafiki.
 
Kwa staili hii ya kuendelea kuupaka matope Uislam ndo inafanya watu makini kutaman kuujua ukweli.
Allah akuondolee husda.
Hata huko Iran kwa tabia yenu ya kijilipua wengi wameachana na uislam.Unamkatazaje mtu asihoji imani yako kama sio upimbi?
 
Mokiti

Nadhan unajua kabisa unacholeta hapa ni uzushi

Je unategemea ushirikiano toka kwangu?
Kwa hiyo waislamu mmeandika uzushi
Alafu unakimbiliaga mpaka Kuni block kwenye nuzi zako unakwepa ukweli
 
Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume "

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ

الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Hapa nilichokielewa ni kwamba haikuwa na maana kwamba wanawake ni wengi ila ni kwamba wote hao wanaume na wanawake ni wengi. Ni hivi "wanaume na wanawake wengi" ni sawa na kusema "Masanja anafuga ng'ombe na mbuzi wengi" ....sasa hapo haimanishi ng'ombe ni wachache na mbuzi ni wengi ila ni kwamba hilo neno wengi limejumuisha hao ng'ombe na mbuzi kwamba ni wengi..

Kwa hiyo pale neno wengi halijawekwa kuonyesha wanawake tu bali na wanaume pia. Tumeelewana nyie watu?
 
Kwa hiyo waislamu mmeandika uzushi
Alafu unakimbiliaga mpaka Kuni block kwenye nuzi zako unakwepa ukweli
Tangu lini nikakukimbia wewe,Kwa hoja gani ulizo nazo?

Sana Sana nitapiga kimya nikuache na upuuzi wako.

Lete hoja toka Qur'an na sio hadith,Qur'an ndio msingi mama

Kama huna andiko uwe na siku njema
 
Mkuu mkuu

Kwahiyo hayo ndo umeona makosa?
Huo ni uelewa mbaya lakini Qur'an haina kosa lolote.

Imesemwa jua limezama katika chem chem nyeusi,Ile ni Bahari nyeusi/black sea

Sehemu jua lilipokuwa linakuchwa ilikuwa ni upande WA baharini,na kwakuwa dunia ni duara basi wakati jua linazama Kwa Masafa ya mbali unaliona kana kwamba linazama baharini kwakuwa lipo uelekeo ule na hiyo ndo maana yake mkuu.

Kwahiyo kama hayo ndo ulichukulia kuwa makosa basi ujue wewe ndio umeelewa vibaya.

Shukrani
Acha kupotosha unaelewa maana ya matopeni?
 
Tangu lini nikakukimbia wewe,Kwa hoja gani ulizo nazo?

Sana Sana nitapiga kimya nikuache na upuuzi wako.

Lete hoja toka Qur'an na sio hadith,Qur'an ndio msingi mama

Kama huna andiko uwe na siku njema
Mwamba watu tupo hapa kufatilia mjadala hamna kupiga kimya, unataka kukataa Hadith ni kwamba unashindwa kuzitetea ama ni vipi! Zote zenu fafanua bila kuchoka
 
Mwamba watu tupo hapa kufatilia mjadala hamna kupiga kimya, unataka kukataa Hadith ni kwamba unashindwa kuzitetea ama ni vipi! Zote zenu fafanua bila kuchoka
Hadith nyingi ni uzushi

Hadith huwa zinaendana Kwa karibu Sana na mafundisho ya Qur'an

Ebu niambie,hadith inasema jua linaenda kusujudia kiti cha Allah,je mambo kama haya ni ya kujadili kweli?
 
Un
Unaweza kudhibitisha kwa maandishi kuwa jua na Mwezi kuzunguka dunia?

Maana vinginevyo zitakuwa porojo tu
Sura 36:37-40 inasema, "Na ishara yao ni usiku: Tulijitoa pale toka mchana, na tazama wakazamishwa kwenye giza; 38 na jua linafuata mkondo wake wa kawaida kwa muda liliopangiwa; hii ni amri yake (yeye), aliyeinuliwa kwenye nguvu, yeye ajuaye vyote
 
Kama
Hili lipo wazi mbona,wanabisha mpaka kutaka kupigana na aya unawapa wanaikataa.
Kama wanaikataa basi ujue wapo sahihi kwasababu itakuwa sio Aya

Mara nyingi mtu anasema Qur'an 1:56 inasema hivi lkn ukiangalia kifungu halisi hakisemi hivyo

Je hapo unawemaje
 
Hayo ni matusi au nakuambia upuuzi ulio nao

Lete hoja weka mezani tujadili lkn sio unaongea mambo ya kusadikika

Kama huo sio upuuzi ni nini?
Ayo mambo ya kusadikia hayapo kwenye Quran? Au Kuna vitu hamvifati?
 
ENYI VIJANA WA MTUME MSIOTUMIA AKILI.

AGIZO LA MTUME HADI LEO HALITEKELEZEKI.

WATANZANIA TUPO MILIONI 61.

Wanawake 31.
Wanaume 30.
Wasioolewa 10.

Ili Kila mwanaume aoe wanawake 4 maana yake 30×4= 120.

Wanawake walitakiwa wawe Milioni 120
Ili Kila mwanaume aoe wake 4.

AGIZO LA MTUME HALITEKELEZEKI.
 
Back
Top Bottom