Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Sura 36:37-40 inasema, "Na ishara yao ni usiku: Tulijitoa pale toka mchana, na tazama wakazamishwa kwenye giza; 38 na jua linafuata mkondo wake wa kawaida kwa muda liliopangiwa; hii ni amri yake (yeye), aliyeinuliwa kwenye nguvu, yeye ajuaye vyote

Hiyo Aya uliyotaja ni hii hapa


وَآيَةٌ لَّهُمُ اللَّيْلُ نَسْلَخُ مِنْهُ النَّهَارَ فَإِذَا هُم مُّظْلِمُونَ
Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani.
وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَا ۚ ذَٰلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
وَالْقَمَرَ قَدَّرْنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَالْعُرْجُونِ الْقَدِيمِ
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.
لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ
Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao.


Sasa niliyoandika ndio sahihi zaidi

Sasa niambie tatizo ni nini,au unataka kuelewa nini mkuu
 
Wap Wapuuzi mnazidi kuongezeka tu
 
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
hapa ndio nachoka kabisa kuhusu hiki kitabu mwandishi ni nani! ; "Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa kwani wote huishi kama malaika"
 
Hadith nyingi ni uzushi

Hadith huwa zinaendana Kwa karibu Sana na mafundisho ya Qur'an

Ebu niambie,hadith inasema jua linaenda kusujudia kiti cha Allah,je mambo kama haya ni ya kujadili kweli?
Mi mambo ya uislam siyajui, kwa hiyo hao wanaoandika huo uzushi huwa ni waislam au ni akina nani
 
... na akamuumba mkewe!
 
Yani mtu ambaye hajawahi fika Islael akaandika habari za waislael. Wakristo.

Akazipeleka kwenye Quran na WAISLAMU wakapokea.

Kwanini Manabii wote aliwatoa Islael na sio Uarabuni???????
Maka Madina nk....


WAISLAMU KUWENI NA AKILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…