Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
- Thread starter
-
- #141
Muorodheshee mkuu ili wengi tupate hiyo elimuHacha kutoa povu...kwa kifupi ni kwamba quran ina vifungu vinavyohalarisha haya matendo ambayo wengine wanayatafsiri kama uovu na ukitaka nitakuorodheshea mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Filospher [emoji117] PhilosopherKwahapo ulipoongelea uwarabuni hukoo kwa waarabu tu makafiri wapo kama wew hujuii ulisemaloo wew unajuwa adhabu ya kuingiliana kinyume na maumbile.serikali.tu haitakii sasa sikwambii huoo uislamu.
Pia inaonekana wew kijana ni mzoeefu wa mambo.haya naona unajifunzaga kwenye dini yenu hukoo sindioo.
Sent using Jamii Forums mobile app
filosopher wakwanza duniani huoo huyoo waulizee wanaojuaa wanasayansii wa dunia watakwambia kile kumbe kilikuwajee na matokeo ya dunia ya leoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, wanatumia mistari inayowahusia kuwachukia wakristo na wayahudi na wasiwe na undugu nao.
Sasa yesu.alikuja na upanga wa nini?Hapana, wanatumia mistari inayowahusia kuwachukia wakristo na wayahudi na wasiwe na undugu nao.
View attachment 570182
Biblia haisomwi kama gazeti, anaposema Upanga hakumaanisha jambia kama lile la kuchinjia
Inasemekana boko haram wamekuwa financed na Jordan, halafu Qatar na Iran waka finance Islamic state.Hayo siyo hoja sana, tatizo ni kwa nini Waislam wakubali kirahisi rahisi dini yao ichafuliwe namna hiyo wao wakikaa kimya utadhani hawapo duniani.4.Kuna issues za International Politics hapo na Natural Resources
*Hivi nani aweza kataa urafiki uliokuwapo kati ya Saddam na Western + USA
*Hivi nani aweza kataa urafiki uliokuwapo kati ya Osama + Afghanistan na Western + USA
*Hivi nani aweza kataa kuwa Islamic state ilianzishwa na CIA
*Hivi nani aliwatrain Boko Haram akawa finance na wanafanya hayo wanayoyafanya kwa interest za nani, mbona wahanga wakubwa wa mashambulizi yao ni WAISLAM WASIO NA HATI is there any religious justification
Ukijiuliza saana hayo maswali utapata jibu
Wakatabahu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupinga kupi unakotaka wewe ili uone kweli hapa waislamu wanapinga ugaidi?Inasemekana boko haram wamekuwa financed na Jordan, halafu Qatar na Iran waka finance Islamic state.Hayo siyo hoja sana, tatizo ni kwa nini Waislam wakubali kirahisi rahisi dini yao ichafuliwe namna hiyo wao wakikaa kimya utadhani hawapo duniani.
Kwanini wasipinge kwa nguvu zote hayo mambo?
MTU anabeba Quran halafu anafanya mauaji ya kiholela akiwa ameshika Quran mkononi.
We need a peace world ili kila binadamu afurahi kuishi katika dunia hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAKUNA TAIFA LA KIISLAMU LINALOPIGANA VITA ILA KILICHOPO NI MPANGO WA WENU KUVURUGA DINI YA MUNGU WE ULIEANDIKA MADA HII KUMBUKA VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA VYA PILI KUNA TAIFA LA KIISLAM LILISHIRIKI VITA VYOTE VURUGU ZOTE DUNIANI NYIE NDIO WAANZILISHI NA LENGO LAO NI KUIVURUGA DUNIA NA KUIVUGA DINI HII YA MUNGU NA WE ULIANFIKAWapendwa mwanajf, nawasalimia kwa heshima zote!
Wote tuliopo hai duniani leo hii Dini zote tulizikuta zipo baadaye tukaaminishwa na kuamini tulichoambiwa!
Thread hii haitafuti dini IPI bora wala dhehebu lipi bora kuliko jingine.
Quran ni maandiko matakatifu katika imani za kiislam ambacho kuna machache ya yaliyomo katika Agano la kale ndani ya bibilia yamo pia katika quran.
Quran imeandikwa vizuri tu lakini lugha iliyotumika huenda haieleweki kwa wasomaji wengi ndio maana waislam walio wengi ni wepesi sana kushawishika hata kutenda maovu ambayo hata kitabu cha quran hakijayagusia hata chembe.
Jambo hili limekuwa nikinifanye ni waze sana kila mara kwa nini waislam wengi hushawishika kirahisi kutenda maovu hata mara tu wakitoka nje ya jengo la Ibaada?
Kwa nini makundi ya kiharifu yamejaza vijana wengi wa kiislam?
Kwa nini Boko haram hutembea na quran huku wakiendesha mauji holela?
Kwanini kundi la alshabab, Islamic state, alqaida, Abboosafayy, Alnusrrah nk wote hutembea na quran huku wakiendesha mauaji ya holela?
Kitu gani huwafanya waislam watofautiane na kitabu kitakatifu hicho cha Quran?
Tupia jicho mataifa yote ya kiislam utakuta mengi yana vurugu nyingi lakini Quran IPO na husomwa kila Siku.
Je quran imeelekeza kutopenda amani? Au viongozi walioenda masomo zaidi ya kuifahamu Quran ndio wapotoshaji wakubwa kwa waumini waumini wao?
Karibuni tuelimishane vizuri kwa kuepuka lugha chafu ili tusimkosee Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAKUNA TAIFA LA KIISLAMU LINALOPIGANA VITA ILA KILICHOPO NI MPANGO WA MAKAFIRI KUVURUGA DINI YA MUNGU WE ULIEANDIKA MADA HII KUMBUKA VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA VYA PILI KUNA TAIFA LA KIISLAM LILISHIRIKI VITA VYOTE VURUGU ZOTE DUNIANI MAKAFIRI NDIO WAANZILISHI NA LENGO LAO NI KUIVURUGA DUNIA NA KUIVUGA DINI HII YA MUNGU NA WE ULIANFIKA BILA SHAKA NI KAFIRI
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikupe mfano:-Kule Ufaransa waliuwawa wayahudi wawili wakina Charles Hebdo kwa madai kua wanauchafua Uislamu kwa kuchora katuni. Ajabu waislamu waliandamana duniani kote baada ya mauaji haya hadi Libya na Morocco kuilaani USA hata kuvamia ubalozi wa USA na sio Ufaransa. Mpaka mama Hilary akalazimika kuwatuliza.Kupinga kupi unakotaka wewe ili uone kweli hapa waislamu wanapinga ugaidi?
Umesema vema mkuuUSIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante umetuelimisha vizuri na umeweka wazi , ingawa waungaji mkono wa maovu watakupinga tu juu ya ushauri mzuri ulioutoa.Labda nikupe mfano:-Kule Ufaransa waliuwawa wayahudi wawili wakina Charles Hebdo kwa madai kua wanauchafua Uislamu kwa kuchora katuni. Ajabu waislamu waliandamana duniani kote baada ya mauaji haya hadi Libya na Morocco kuilaani USA hata kuvamia ubalozi wa USA na sio Ufaransa. Mpaka mama Hilary akalazimika kuwatuliza.
Hatujasikia wakiandamana kuipinga ISIS, bokoharam, alshabaabu.
Sanasana wanaisifia ISIS.
Unaichukuliaje hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushoga, kamari, uasherati, ulevi...... ni vitendo vinavyofanywa na waumini wa karibu dini zote duniani. Si sehemu ya msimamo wa dini. Lakini unaposhika kitabu kitakatifu na kutamka mungu mkubwa huku unaua, huo ni msimamo wa dini.Huko kwa Biblia kuna USHOGA, KAMARI, UESHARATI, ULEVI ....mbona haya huyasemi?
Mkuu wewe ni wa pekee. Ni kweli tukumbushane na kushauriana iko siku mungu atatenganisha mambo hayo mawili yaani Uislam ni matendo ya baadhi ya waislam.USIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheikh mbona unatoa somo kidogo kidogo, funguka. Nimependa analysis yako. Unajua suala hilo la dini ni nyeti lataka wachambuzi kama wewe. Wengine wana hamaki, jazba na matusi. Hapana. Tuelemishane kwa utulivu. Elimu hiyo ijenge misingi ya amani baina Yetu. Amani, Salaam.Kama upo sincere katika kutafuta jibu ama elimu kuhusu hilo nitakujibu.
Quran ni Kitabu kitukufu alichopewa Mtume Muhammad ili uwe muongozo kwa Waislamu. Quran imekamilika. Hakina makosa.
Quran is what we are supposed to run to at any point in our lives.
Tukiwa sad.... Tunakutana na aya unasema Do Not Be Sad
Tukiwa happy tunakutana na ingine inayotufundisha kumshukuru kwa neema za Mola wetu
Ulitaka jibu lolote utalipata kwenye Quran.
Kwa sababu ya human nature na kutokuwa tumekamilika, ndo hapo tunapokuwa Waislamu lakini imani zetu hazijakamilika.
Tunapokuwa tunasengenya.... tunatukana...tunagombana... ndo hapo inapobidi tukumbushane.Tusijisahau sana.
Tushikamane. Tuongozane. Mkono kwa mkono mpaka Jannah.
Angalizo: Boko Haram na vikundi vingine wanaojiita Waislamu sio miongoni mwetu.
Endelezeni tu JIHAD mkuu. Kusubiri kuzaliana haitakuwa leo wala kesho kwani mkakati wa kuwapunguza kwa kuchinjana na wenyewe unazidi kuwekewa mikakati. Ni lazima mpunguzwe mwa kunitoa mhanga.Upeo wa mleta mada ni mdogo sana, wacha nikupe somo dogo: dunia haiwezi kuisha mpaka uislam utawale dunia; katika utawala huo ifikie muda ukisahau smart phone yako sehemu yoyote hakuna wakuichukua, sasa harakati za kutawala zinaweza chukua hata miaka elfu tano ijayo na zinaanza taratibu sana kiasi ya kwamba huwezi kuhisi kama kitu flani kinaweza kuwa. Vita vinatokea sehemu ambako waislam wako wengi, then wachache wanahamia ulaya kama wakimbizi, baadaye wanazaliana na kuwa wengi huko ulaya na amerika wanaanza kushika nafasi nyeti baadaye unakuta wametawala ulaya na amerika. Hatimaye dunia nzima, hii kitu inaweza kuchuka miaka mingi sana, wala usiwaze kama dunia inaisha leo au kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.Labda nikupe mfano:-Kule Ufaransa waliuwawa wayahudi wawili wakina Charles Hebdo kwa madai kua wanauchafua Uislamu kwa kuchora katuni. Ajabu waislamu waliandamana duniani kote baada ya mauaji haya hadi Libya na Morocco kuilaani USA hata kuvamia ubalozi wa USA na sio Ufaransa. Mpaka mama Hilary akalazimika kuwatuliza.
Hatujasikia wakiandamana kuipinga ISIS, bokoharam, alshabaabu.
Sanasana wanaisifia ISIS.
Unaichukuliaje hii?
Sent using Jamii Forums mobile app