Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Kwahapo ulipoongelea uwarabuni hukoo kwa waarabu tu makafiri wapo kama wew hujuii ulisemaloo wew unajuwa adhabu ya kuingiliana kinyume na maumbile.serikali.tu haitakii sasa sikwambii huoo uislamu.

Pia inaonekana wew kijana ni mzoeefu wa mambo.haya naona unajifunzaga kwenye dini yenu hukoo sindioo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Filospher [emoji117] Philosopher

Sayansii [emoji117] Sayansi

Huoo [emoji117] Huyo

Wewe hata kuandika vizuri hujui ni bora tu unyamaze kimya.
filosopher wakwanza duniani huoo huyoo waulizee wanaojuaa wanasayansii wa dunia watakwambia kile kumbe kilikuwajee na matokeo ya dunia ya leoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isis wana mfata yesu.
210853ebb85ff0a59e0f7565bc618f88.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Soma aya ya 34.
Hapana, wanatumia mistari inayowahusia kuwachukia wakristo na wayahudi na wasiwe na undugu nao.

tapatalk_1494135975018.jpeg
 
Sasa yesu.alikuja na upanga wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia haisomwi kama gazeti, anaposema Upanga hakumaanisha jambia kama lile la kuchinjia

Na ndio maana kuna mahali Biblia inasema "Neno la Mungu ni kama upanga ukatao kuwili"

Hiyo ni lugha ya picha na Yesu Kristo alipenda kutumia lugha ya picha.

Aliposema ulimwenguni ameleta upanga alimaanisha hali itakayokuwa ngumu kutokana na wasiomwamini...na ni kweli hapa ulimwenguni changamoto ni nyingi mno hasa kwa waamini wa Kristo.

Unahitaji usaidizi wa Roho mtakatifu kuielewa Biblia.
 
Hii issue wataalamu wa Theology tunaiita " Inherent misconception in the conceptualization of religion"
Kwa kifupi ni ufahamu ndivyo sivyo wa maana halisi ya neno Dini. Na hii imerithiwa miaka mingi toka vizazi hadi vizazi,
1.watu wameshindwa tofautisha kati ya dini na kabila na hii iko ktk dini zote. Kwa mfano ukiwa Mndengereko ukawa unazini, unalewa, unalawiti, unaroga, unasengenya, huendi kanisani/msikitini wewe utaendelea kuwa mndengereko tu.Lakini katika dini UISLAMU/UKRISTO wewe huna lako kabisa hata kama una maelfu ya vitambulisho vinavyokutambulisha kama wewe ni MUISLAM/MKRISTO

2.Kushindwa kutofautisha kati ya Dini na wafuasi wa Dini
Haiwezekani hata siku moja kutafsiri moja kwa moja matendo HASI ya wafuasi wa dini fulani na kuyalinganisha/ kuyanasibisha na dini hiyo na hii ni kwa dini zote UISLAMU NA UKRISTO
Na hii ni kwa jinsi Binaadam alivyoumbwa ana likes/dislikes, weaknesses, utashi n.k
Nitakupa mfano ktk karne ya 19 waandishi wengi walikuwa ni westerners na wao kwa experience yao ya waislamu wachache walio kuwa nao karibu walikuwa na haya mambo ya kulawitiana hivyo maandishi yao mengi yanayohusu Uislamu lazima waonyeshe ukaribu wa Uislamu they didn't took further steps to investigate the Scriptures HAYO NI MATATIZO YA WAISLAMU SIO UISLAMU WALA QUR AN
Au nitakupa mfano kama hivi sasa ni rahisi saana especially in Europe mtu akaona ukaribu mkubwa kati ya Usenget na Ukristo kitu ambacho siyo.HAYO NI MATATIZO YA WAKRISTO SIO UKRISTO
Ninachotaka kusema ni kwamba Ugaidi unaofanywa na waislam wachache haumaanishi kwamba Uislamu umewatuma

3.Matatizo ya Kijamii na Masuluhisho yake
Mwanzoni mwa 1980s matatizo ya AIDS yalivyoingia Tanzania watz tukaubatiza huo ugonjwa wa WAHAYA huu ugonjwa ulivyoimaliza Kagera ukaenda Mbeya, ulivyotoka Mbeya ukaenda Iringa sasa hivi sijui uko wapi baada ya kugundua kuwa hili ni janga la kijamii na siyo WAHAYA inabidi litafutwe suluhisho la KIJAMII NA WANAJAMII ndipo kwa kiasi kikubwa tuliweza kuudhibiti AIDS/HIV
Na ndivyo ilivyo hata suala la Ugaidi ni tatizo la kijamii na hii waweza iona wakati FBI/CIA wanafuatilia wahusika wa Dsm and Nairobi american embassies bombings ilivyofikia suala la Thomas Lyimo na Workshop yake kutumika jinsi walivyomchukulia they didn't consider his religion background waka drill mpaka mwisho ilipoonekana kuwa ni mtu tu alipita kwa hiyo workshop na kuomba kuchomewa mtungi wake.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
4.Kuna issues za International Politics hapo na Natural Resources
*Hivi nani aweza kataa urafiki uliokuwapo kati ya Saddam na Western + USA
*Hivi nani aweza kataa urafiki uliokuwapo kati ya Osama + Afghanistan na Western + USA
*Hivi nani aweza kataa kuwa Islamic state ilianzishwa na CIA
*Hivi nani aliwatrain Boko Haram akawa finance na wanafanya hayo wanayoyafanya kwa interest za nani, mbona wahanga wakubwa wa mashambulizi yao ni WAISLAM WASIO NA HATI is there any religious justification
Ukijiuliza saana hayo maswali utapata jibu

Wakatabahu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4.Kuna issues za International Politics hapo na Natural Resources
*Hivi nani aweza kataa urafiki uliokuwapo kati ya Saddam na Western + USA
*Hivi nani aweza kataa urafiki uliokuwapo kati ya Osama + Afghanistan na Western + USA
*Hivi nani aweza kataa kuwa Islamic state ilianzishwa na CIA
*Hivi nani aliwatrain Boko Haram akawa finance na wanafanya hayo wanayoyafanya kwa interest za nani, mbona wahanga wakubwa wa mashambulizi yao ni WAISLAM WASIO NA HATI is there any religious justification
Ukijiuliza saana hayo maswali utapata jibu

Wakatabahu

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana boko haram wamekuwa financed na Jordan, halafu Qatar na Iran waka finance Islamic state.Hayo siyo hoja sana, tatizo ni kwa nini Waislam wakubali kirahisi rahisi dini yao ichafuliwe namna hiyo wao wakikaa kimya utadhani hawapo duniani.
Kwanini wasipinge kwa nguvu zote hayo mambo?
MTU anabeba Quran halafu anafanya mauaji ya kiholela akiwa ameshika Quran mkononi.
We need a peace world ili kila binadamu afurahi kuishi katika dunia hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana boko haram wamekuwa financed na Jordan, halafu Qatar na Iran waka finance Islamic state.Hayo siyo hoja sana, tatizo ni kwa nini Waislam wakubali kirahisi rahisi dini yao ichafuliwe namna hiyo wao wakikaa kimya utadhani hawapo duniani.
Kwanini wasipinge kwa nguvu zote hayo mambo?
MTU anabeba Quran halafu anafanya mauaji ya kiholela akiwa ameshika Quran mkononi.
We need a peace world ili kila binadamu afurahi kuishi katika dunia hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupinga kupi unakotaka wewe ili uone kweli hapa waislamu wanapinga ugaidi?
 
Wapendwa mwanajf, nawasalimia kwa heshima zote!

Wote tuliopo hai duniani leo hii Dini zote tulizikuta zipo baadaye tukaaminishwa na kuamini tulichoambiwa!

Thread hii haitafuti dini IPI bora wala dhehebu lipi bora kuliko jingine.
Quran ni maandiko matakatifu katika imani za kiislam ambacho kuna machache ya yaliyomo katika Agano la kale ndani ya bibilia yamo pia katika quran.

Quran imeandikwa vizuri tu lakini lugha iliyotumika huenda haieleweki kwa wasomaji wengi ndio maana waislam walio wengi ni wepesi sana kushawishika hata kutenda maovu ambayo hata kitabu cha quran hakijayagusia hata chembe.

Jambo hili limekuwa nikinifanye ni waze sana kila mara kwa nini waislam wengi hushawishika kirahisi kutenda maovu hata mara tu wakitoka nje ya jengo la Ibaada?

Kwa nini makundi ya kiharifu yamejaza vijana wengi wa kiislam?
Kwa nini Boko haram hutembea na quran huku wakiendesha mauji holela?
Kwanini kundi la alshabab, Islamic state, alqaida, Abboosafayy, Alnusrrah nk wote hutembea na quran huku wakiendesha mauaji ya holela?
Kitu gani huwafanya waislam watofautiane na kitabu kitakatifu hicho cha Quran?

Tupia jicho mataifa yote ya kiislam utakuta mengi yana vurugu nyingi lakini Quran IPO na husomwa kila Siku.

Je quran imeelekeza kutopenda amani? Au viongozi walioenda masomo zaidi ya kuifahamu Quran ndio wapotoshaji wakubwa kwa waumini waumini wao?
Karibuni tuelimishane vizuri kwa kuepuka lugha chafu ili tusimkosee Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
HAKUNA TAIFA LA KIISLAMU LINALOPIGANA VITA ILA KILICHOPO NI MPANGO WA WENU KUVURUGA DINI YA MUNGU WE ULIEANDIKA MADA HII KUMBUKA VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA VYA PILI KUNA TAIFA LA KIISLAM LILISHIRIKI VITA VYOTE VURUGU ZOTE DUNIANI NYIE NDIO WAANZILISHI NA LENGO LAO NI KUIVURUGA DUNIA NA KUIVUGA DINI HII YA MUNGU NA WE ULIANFIKA
 
HAKUNA TAIFA LA KIISLAMU LINALOPIGANA VITA ILA KILICHOPO NI MPANGO WA MAKAFIRI KUVURUGA DINI YA MUNGU WE ULIEANDIKA MADA HII KUMBUKA VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA VYA PILI KUNA TAIFA LA KIISLAM LILISHIRIKI VITA VYOTE VURUGU ZOTE DUNIANI MAKAFIRI NDIO WAANZILISHI NA LENGO LAO NI KUIVURUGA DUNIA NA KUIVUGA DINI HII YA MUNGU NA WE ULIANFIKA BILA SHAKA NI KAFIRI

Sent using Jamii Forums mobile app

Mlikua masikini sana wala msijisifu. Hamkua na uwezo huo mlionao leo.
Ili iwe vita ya dunia lazima uwe na uwezo WA kutawala dunia. Kwani elimu mlikua nayo basi ?

Mpaka Leo Taifa LA kiarabu lenye walioeleimika ulimwenguni ni Egypt peke yake. Just imagine....Pesa bila akili ni Pesa basi?

Utajiri wenyewe ni "mafuta oriented".
Kuna kiwanda cha maana?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupinga kupi unakotaka wewe ili uone kweli hapa waislamu wanapinga ugaidi?
Labda nikupe mfano:-Kule Ufaransa waliuwawa wayahudi wawili wakina Charles Hebdo kwa madai kua wanauchafua Uislamu kwa kuchora katuni. Ajabu waislamu waliandamana duniani kote baada ya mauaji haya hadi Libya na Morocco kuilaani USA hata kuvamia ubalozi wa USA na sio Ufaransa. Mpaka mama Hilary akalazimika kuwatuliza.
Hatujasikia wakiandamana kuipinga ISIS, bokoharam, alshabaabu.
Sanasana wanaisifia ISIS.
Unaichukuliaje hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vema mkuu
 
Labda nikupe mfano:-Kule Ufaransa waliuwawa wayahudi wawili wakina Charles Hebdo kwa madai kua wanauchafua Uislamu kwa kuchora katuni. Ajabu waislamu waliandamana duniani kote baada ya mauaji haya hadi Libya na Morocco kuilaani USA hata kuvamia ubalozi wa USA na sio Ufaransa. Mpaka mama Hilary akalazimika kuwatuliza.
Hatujasikia wakiandamana kuipinga ISIS, bokoharam, alshabaabu.
Sanasana wanaisifia ISIS.
Unaichukuliaje hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante umetuelimisha vizuri na umeweka wazi , ingawa waungaji mkono wa maovu watakupinga tu juu ya ushauri mzuri ulioutoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwa Biblia kuna USHOGA, KAMARI, UESHARATI, ULEVI ....mbona haya huyasemi?
Ushoga, kamari, uasherati, ulevi...... ni vitendo vinavyofanywa na waumini wa karibu dini zote duniani. Si sehemu ya msimamo wa dini. Lakini unaposhika kitabu kitakatifu na kutamka mungu mkubwa huku unaua, huo ni msimamo wa dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni wa pekee. Ni kweli tukumbushane na kushauriana iko siku mungu atatenganisha mambo hayo mawili yaani Uislam ni matendo ya baadhi ya waislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo sincere katika kutafuta jibu ama elimu kuhusu hilo nitakujibu.

Quran ni Kitabu kitukufu alichopewa Mtume Muhammad ili uwe muongozo kwa Waislamu. Quran imekamilika. Hakina makosa.

Quran is what we are supposed to run to at any point in our lives.

Tukiwa sad.... Tunakutana na aya unasema Do Not Be Sad
Tukiwa happy tunakutana na ingine inayotufundisha kumshukuru kwa neema za Mola wetu
Ulitaka jibu lolote utalipata kwenye Quran.

Kwa sababu ya human nature na kutokuwa tumekamilika, ndo hapo tunapokuwa Waislamu lakini imani zetu hazijakamilika.

Tunapokuwa tunasengenya.... tunatukana...tunagombana... ndo hapo inapobidi tukumbushane.Tusijisahau sana.

Tushikamane. Tuongozane. Mkono kwa mkono mpaka Jannah.

Angalizo: Boko Haram na vikundi vingine wanaojiita Waislamu sio miongoni mwetu.
Sheikh mbona unatoa somo kidogo kidogo, funguka. Nimependa analysis yako. Unajua suala hilo la dini ni nyeti lataka wachambuzi kama wewe. Wengine wana hamaki, jazba na matusi. Hapana. Tuelemishane kwa utulivu. Elimu hiyo ijenge misingi ya amani baina Yetu. Amani, Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upeo wa mleta mada ni mdogo sana, wacha nikupe somo dogo: dunia haiwezi kuisha mpaka uislam utawale dunia; katika utawala huo ifikie muda ukisahau smart phone yako sehemu yoyote hakuna wakuichukua, sasa harakati za kutawala zinaweza chukua hata miaka elfu tano ijayo na zinaanza taratibu sana kiasi ya kwamba huwezi kuhisi kama kitu flani kinaweza kuwa. Vita vinatokea sehemu ambako waislam wako wengi, then wachache wanahamia ulaya kama wakimbizi, baadaye wanazaliana na kuwa wengi huko ulaya na amerika wanaanza kushika nafasi nyeti baadaye unakuta wametawala ulaya na amerika. Hatimaye dunia nzima, hii kitu inaweza kuchuka miaka mingi sana, wala usiwaze kama dunia inaisha leo au kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelezeni tu JIHAD mkuu. Kusubiri kuzaliana haitakuwa leo wala kesho kwani mkakati wa kuwapunguza kwa kuchinjana na wenyewe unazidi kuwekewa mikakati. Ni lazima mpunguzwe mwa kunitoa mhanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nikupe mfano:-Kule Ufaransa waliuwawa wayahudi wawili wakina Charles Hebdo kwa madai kua wanauchafua Uislamu kwa kuchora katuni. Ajabu waislamu waliandamana duniani kote baada ya mauaji haya hadi Libya na Morocco kuilaani USA hata kuvamia ubalozi wa USA na sio Ufaransa. Mpaka mama Hilary akalazimika kuwatuliza.
Hatujasikia wakiandamana kuipinga ISIS, bokoharam, alshabaabu.
Sanasana wanaisifia ISIS.
Unaichukuliaje hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
Huku mitaani tunawashuhudia baadhi, nasema tena baadhi ya wanaojiita waislamu wakiviunga mkono vikundi vya kigaidi kwa asilimia mia moja yaaani namaanisha 100%.
Vikundi vya Al-Shabab, ISIS, boko haram nk.
Leo hii unashindwa kumwamini ni yupi mwislamu wa ukweli au mwislamu wa boko haram.
Vikundi hivyo vyoote vinafadhiriwa na ama nchi au taasisi za Kiislamu.
Ona mfano.
Ukichora katuni ya Muhamad unachinjwa na waislamu na inakubalika kwa muislamu yeyote. Suala la picha tu ya kikatuni. What is a Cartoon.
La sivyo ni maandamano ya nchi nzima. kupinga ka mchoro ka kutunga ka katuni.
Vikitokea vikundi vya Al-Shababu vinawachinja Wakristo bila kosa lolote kama lile tukio la chuo cha Garisa nchini Kenya, waislamu wanakaa kimwaaaa, kama hawaoni vile.
Leo hii Waislamu wanawalazimisha Wakristo, kuwa alika wao wawachinjie mifugo yao na wagawiwe nyama.
Waislamu wakichinja mnyama wao, Wakristo hawahusiki na nyama hawapewi, na ni lazima Wakristo wavumilie hii hali.
Ukweli ni kwamba Mungu aliyeumba mbingu na nchi anawapenda sana Wakristo ndo maana kawapa nguvu dhidi ya Waislamu.
Kama Waislamu wangekuwa na nguvu kuwashinda Wakristo nasema ukweli kuwa Wakristo woote wangelazimishwa ama kusilimu au kuuawa.
Mshauri wangu wa masuala ya kijamii aliniambia siku moja kuwa
" ndugu yangu tafadhari usimwamini mtu yeyote anayejiita ni mwisilamu. Mwislamu anampenda mwislamu mwenzake hata kama akiwa gaidi "
Binafsi bado natafakari kauli hii.
Kwani inaonekana kuwa Mwislamu yuko salama kabisa akiwa katika jamii ya Kikristo, lakini Mkristo hayuko salama akiwa katika jamii ya Kiislamu

Neno hili nimelisema tu kwasababu sisi Watanzania tunapendana na nivizuri kutoa dukuduku la moyoni kuliko kulificha.
Ili turekebishane kama jamii iliyostaarabika.
Tujue tu kwamba Mungu ndiye aliyetuumba na niyeye peke yake mwenye mamlaka ya kutuchukua au kutuua.
Kama kuna dini au imani au mila au sheria au hisia au dhana au halali ya kumuua mtu asiyekukosea wewe binafsi au familia yako au jamaa yako, yaani kumwua mtu asiyekukosea, hiyo imani ni ya SHETANI. na HAIFAI.
Hunijui sikujui utanilazimishaje niipende dini au imani yako ambayo hata sijawahi kuisikia ?
Asante Mungu kwa kutulinda Wakristo kwa kutupa nguvu, laa sivyo hawa Al-Qaida, ISIS, na na wafuasi wao wa kimyakimya wangetuangamiza kabisa.
Asante Yesu kwa kutuponya na tuko salama katika mikono yako.
Asante sana.
Nabaki nalia kwa uchungu mkubwa.
 
Mtume alipoambiwa " ^lainaa" basi akageuza uso wake tena asieleke jerusalemu lkn mwanzo hakufwnya hibyo

Bwana ataongoza safari
 
Back
Top Bottom