Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Haya uliyosema ni maneno ya Mungu? ya Allah ama ni maneno ya watu waliojipachika au kupachikwa majina ya mitume na manabii?Uislamu ni dini ambayo Allaah ameichagua kama mfumo sahihi wa maisha kwa Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .
Sheria tu zilitofautiana kutoka na zama lakini misingi mikuu ile ile ambapo msingi mkuu unawaunganisha wote kuwafanya wawe Waislamu ni Tawheed maana yake kumpwekesha Mola muumba pekee kwa kumuabudia yeye tu bila kumshirikisha . Ndio maana hakuna Nabii akiyekuja kudai kuwa yeye ni Mungu au kiabudiwe kingine kinyume na Mungu muumba (Allaah)
Manabii wote walikuja kukingania watu waachane na maovu , wafanye mema kwa kumtii mola wao huo ndio Uislamu . Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah mola muumba kwa kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha kufuata maarisho yake na kuacha makatazo kama jinsi alivyoolekeza kupitia Manabii na wajumbe wake.
Ndio maana tunasema Uislamu ukikuwepo tokea mwanzo na Manabii wote walikuwa Waislamu sababu walikuwa kwenye misingi hiyo , tofauti ipo kwenye baadhi ya Sheria tu sawa na Leo I phone zote ni I phone zina sifa za kipekee kuitwa I phone pamoja na kuwa na matoleo tofauti kutokana na maboresho ila sifa za kipee zinazofanya kuwa I phone lazima zitabaki kama msingi
Sidhani kama mtoa mada ashamuona huyo Allah...jibu hapo ni BHaya uliyosema ni maneno ya Mungu? ya Allah ama ni maneno ya watu waliojipachika au kupachikwa majina ya mitume na manabii?
Allah ni nani?Uislamu ni dini ambayo Allaah ameichagua kama mfumo sahihi wa maisha kwa Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .
Sheria tu zilitofautiana kutoka na zama lakini misingi mikuu ile ile ambapo msingi mkuu unawaunganisha wote kuwafanya wawe Waislamu ni Tawheed maana yake kumpwekesha Mola muumba pekee kwa kumuabudia yeye tu bila kumshirikisha . Ndio maana hakuna Nabii akiyekuja kudai kuwa yeye ni Mungu au kiabudiwe kingine kinyume na Mungu muumba (Allaah)
Manabii wote walikuja kukingania watu waachane na maovu , wafanye mema kwa kumtii mola wao huo ndio Uislamu . Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah mola muumba kwa kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha kufuata maarisho yake na kuacha makatazo kama jinsi alivyoolekeza kupitia Manabii na wajumbe wake.
Ndio maana tunasema Uislamu ukikuwepo tokea mwanzo na Manabii wote walikuwa Waislamu sababu walikuwa kwenye misingi hiyo , tofauti ipo kwenye baadhi ya Sheria tu sawa na Leo I phone zote ni I phone zina sifa za kipekee kuitwa I phone pamoja na kuwa na matoleo tofauti kutokana na maboresho ila sifa za kipee zinazofanya kuwa I phone lazima zitabaki kama msingi
๐๐๐ฒ๐น๐ถ ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐ฏ๐ฒ ๐ธ๐ถ๐บ๐ฒ๐ธ๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐? ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ ๐ป๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ ๐ต๐ฎ๐๐๐ผ๐ป๐ถ ๐ธ๐๐๐ผ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ๐บ ๐๐ฒ๐๐ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ด๐ผ. ๐ก๐ถ๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐ฎ ๐๐ถ๐ธ๐ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐๐ผ๐ป๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐ป๐ถ๐ณ๐๐ป๐ด๐๐น๐ถ๐ฎ ๐ฎ๐๐ฎ.๐๐ฒ๐ป๐๐ฒMtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo.
Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril.
Swali langu,
1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?.
(Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na gomora nk)
Hizi zote Jibril alimfunulia Mohamed sio? Kwamba hakuwa anazijua na waarabu walikuwa hawazifahamu?.
(Hapa Nina maanisha visa ambazo haviko kwenye Torati, ) je zilishushwa na Allah kwa wahyi?.
Na Kwa ufafanuzi zaid Tourat ni kitabu kimoja alichoshushiwa Musa
Al-Isra 17:2
"Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya kuwa ni uongofu kwa Wana wa Israili...
Al-Ahqaf 46:12
"Na kabla yake kilikuwa Kitabu cha Musa kilichokuwa kiongozi na rehema"
2. Ni kitabu gani ambacho Nabii Issa alipewa?.
Quran 19 : 30
"Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Nabii."
Ilhali Injili iliandikwa na Wanafunz wa Yesu.
3. Kwanini ilichukua miaka 23 kukamilika wakat Quran yote ilishushwa siku moja usiku kwenye mwez wa ramadhan Laylatul-Qadr
(Lauhul-Mahfuz mpaka Baitul-'Izzah).
4. Ameshushiwa Mohamed ila walioiandika ni wafuasi wake baada ya yeye kufa.
Kwanini asingekusanya na kupanga aya zote na kukamilisha kitabu kamili yeye mwenyewe?.
Kama alivyodai kuwa amepewa Kitabu.
5. Muislam wa kwanza ni Mtume Mohamed.
Kama sio sahihi naomba mnijibu kwa kutumia Quran huku ukiweka pia akilini maana ya kusilimu na shahada.
Jagina Kazakh destroyer adriz gallow bird Covax hateeb10 na wengine niliowasahau naomba mnisaidie kujibu.
Pia kwasababu Quran ina amini kwenye Torati ,Zaburi na Injili.
Ina maana maneno yote ya vitabu hivi ni ya kweli kwasababu hauwez kuchagua baadhi na kuacha baadhi.
Kukataa haya naomba uniwekee aya ya Quran inayokanusha.
Acha fix na cheap cheating, mtu unakuwaje muislamu wakati uislamu umekuja nyuma yako?!Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .
Mola wa HAKI au wa amani??Uislamu ni tamko la mwisho la ujumbe wa asili wa Umoja wa Mwenyezi Mungu. Maana yake ni kujisalimisha kikamilifu kwa Mola Mmoja wa haki, Mlezi wa viumbe vyote, Mwenye uwezo wote, aliyeko kila mahali, na Msimamizi wa dunia na wanadamu. Anayejisalimisha kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu huitwa Muislamu.
Uislamu unasisitiza kwamba Mwenyezi Mungu (Allah) ndiye Muumba na Mtawala wa kila kitu, na mwanadamu ni khalifa Wake duniani. Hali hii humuinua mwanadamu hadi katika cheo cha heshima na utu, akiwa ni naibu wa Mwenyezi Mungu katika ardhi, na huipa maisha yake kusudi tukufu: kutekeleza mapenzi ya Mwenyezi Mungu duniani. Kwa mujibu wa Qurโani Tukufu, Mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu awe msimamizi wa dunia. Mwanadamu hupata uwezo juu ya maumbile na ulimwengu kwa njia ya elimu na juhudi, yaani kwa maarifa na matendo.
Uislamu unafundisha kuwa wanadamu wote ni viumbe wa Mwenyezi Mungu na ni sawa mbele Yake. Ubaguzi wowote unaotokana na rangi, tabaka, kabila au eneo hauna msingi wa haki, bali ni dhana ya upotofu iliyosalia kutoka zama za ujinga zilizowafunga wanadamu katika minyororo ya utumwa.
Mwenyezi Mungu ameteremsha uongofu Wake kupitia Manabii Wake na Vitabu Vitakatifu kwa baadhi ya Mitume Wake. Muhammad (rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) ndiye Mtume na Nabii wa mwisho, na Qurโani Tukufu ni ufunuo wa mwisho kwa wanadamu wote.
Mafundisho ya Uislamu ni mepesi, wazi na yanayoeleweka, hayana khurafa wala imani zisizo na mantiki. Umoja wa Mwenyezi Mungu ( One ness au Tawhid), Utume wa Muhammad (s.a.w), na imani ya maisha ya Akhera ni misingi mikuu ya imani ya Kiislamu. Mafundisho yote ya Uislamu hutokana na misingi hiyo. Hakuna daraja la makasisi, hakuna nadharia tata zisizoeleweka, wala ibada nzito na ngumu.
Uislamu ni mfumo kamili wa maisha, si dini kwa maana finyu iliyozoeleka, kwani hauishii katika maisha binafsi pekee, bali unatoa mwongozo kamili katika kila nyanja ya maisha ya mwanadamu.
Mwenyezi Mungu hana mshirika wala msaidizi katika Uungu au mamlaka Yake. Yuko juu ya maumbile Yake, hana umbo la kimwili, wala hayupo katika kitu chochote cha kimaada.
Katika Uislamu, hakuna mfano unaolingana na Yeye, japokuwa wanadamu wanaweza kujitahidi kuakisi baadhi ya sifa Zake kama haki, rehema na uadilifu. Mwenyezi Mungu hana mtoto, hana kabila, hana jinsia, hana mwili, wala haguswi na sifa za maisha ya kibinadamu.
Wanadamu kwa asili yao ya kiroho wameumbwa katika hali ya Uislamu (fitra), lakini kwa kuwa wamepewa akili, uamuzi na hiari, wanaweza kubaki katika njia ya uchamungu na uongofu kuelekea radhi na thawabu za Mwenyezi Mungu, au wanaweza kupotoka kutokana na malezi na chaguo zao za maisha. Qurโani Tukufu inasisitiza kuwa hakuna kulazimishwa katika dini.
Jukumu la Muhammad (s.a.w) kama Nabii wa mwisho lilikuwa kuthibitisha mafundisho ya kweli ya Manabii waliomtangulia, na maisha yake ni mfano mkamilifu wa kuufuata Uislamu kwa ukamilifu.
Waislamu wanaamini Malaika, viumbe wasioonekana wanaomuabudu Mwenyezi Mungu na kutekeleza amri Zake katika ulimwengu mzima.
Waislamu pia wanaamini kwamba Siku ya Kiyama, wanadamu watahukumiwa kwa matendo yao ya duniani. Ujuzi wa wakati wa siku hiyo uko kwa Mwenyezi Mungu pekee; hakuna ajuaye isipokuwa Yeye (Qurโani 7:187).
Qadar (makadirio ya Mwenyezi Mungu), ambayo ni miongoni mwa nguzo za imani, ina maana kwamba kila linalompata mwanadamu limo ndani ya elimu na maamuzi ya Mwenyezi Mungu. Muumini anapaswa kuyapokea mema kwa shukrani na mabaya kwa subira. Dhana hii haipingani na hiari ya mwanadamu, kwani wanadamu hawajui makadirio ya Mwenyezi Mungu kabla ya kutokea, hivyo wana uhuru wa kuchagua.
Qurโani Tukufu inasema: โMwenyezi Mungu haibebeshi nafsi mzigo unaozidi uwezo wake.โ Hivyo, Uislamu hauhimizi kujitenga na dunia au useja wa lazima. Dunia si ufalme wa Shetani, wala mwili si makao ya dhambi.
Katika Injili za Kikristo, Mungu huitwa Baba; katika Qurโani Tukufu, Yeye ni Mola.
Kauli Allahu Akbar (Mwenyezi Mungu ni Mkuu) inathibitisha kuwa hakuna mola anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.
Mudi is a disgrace. Hata story za Alexander the great alivyosikia na kusimuliwa tu akavichomeka.Kama Adamu alikua Mwislamu alishahidia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.โ
Na kama hakushaadia anapataje sifa za kua Mwislamu bila Shaada?
adriz Jagina Covax Busu la Kenge
Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo.
Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril.
Swali langu,
1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?.
(Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na gomora nk)
Hizi zote Jibril alimfunulia Mohamed sio? Kwamba hakuwa anazijua na waarabu walikuwa hawazifahamu?.
(Hapa Nina maanisha visa ambazo haviko kwenye Torati, ) je zilishushwa na Allah kwa wahyi?.
Na Kwa ufafanuzi zaid Tourat ni kitabu kimoja alichoshushiwa Musa
Al-Isra 17:2
"Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya kuwa ni uongofu kwa Wana wa Israili...
Al-Ahqaf 46:12
"Na kabla yake kilikuwa Kitabu cha Musa kilichokuwa kiongozi na rehema"
2. Ni kitabu gani ambacho Nabii Issa alipewa?.
Quran 19 : 30
"Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Nabii."
Ilhali Injili iliandikwa na Wanafunz wa Yesu.
3. Kwanini ilichukua miaka 23 kukamilika wakat Quran yote ilishushwa siku moja usiku kwenye mwez wa ramadhan Laylatul-Qadr
(Lauhul-Mahfuz mpaka Baitul-'Izzah).
4. Ameshushiwa Mohamed ila walioiandika ni wafuasi wake baada ya yeye kufa.
Kwanini asingekusanya na kupanga aya zote na kukamilisha kitabu kamili yeye mwenyewe?.
Kama alivyodai kuwa amepewa Kitabu.
5. Muislam wa kwanza ni Mtume Mohamed.
Kama sio sahihi naomba mnijibu kwa kutumia Quran huku ukiweka pia akilini maana ya kusilimu na shahada.
Jagina Kazakh destroyer adriz gallow bird Covax hateeb10 na wengine niliowasahau naomba mnisaidie kujibu.
Pia kwasababu Quran ina amini kwenye Torati ,Zaburi na Injili.
Ina maana maneno yote ya vitabu hivi ni ya kweli kwasababu hauwez kuchagua baadhi na kuacha baadhi.
Kukataa haya naomba uniwekee aya ya Quran inayokanusha.
Mudi is a disgrace. Hata story za Alexander the grace alivyosikia akavichomeka.
Ili watu wengi wasiojielewa wanunue kwa wingi bidhaa za Samsug:Kama Adamu alikua Mwislamu alishahidia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.โ
Na kama hakushaadia anapataje sifa za kua Mwislamu bila Shaada?
adriz Jagina Covax Busu la Kenge
๐๐๐ฒ๐น๐ถ ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐ฏ๐ฒ ๐ธ๐ถ๐บ๐ฒ๐ธ๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐? ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ ๐ป๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ ๐ต๐ฎ๐๐๐ผ๐ป๐ถ ๐ธ๐๐๐ผ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ๐บ ๐๐ฒ๐๐ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ด๐ผ. ๐ก๐ถ๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐ฎ ๐๐ถ๐ธ๐ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐๐ผ๐ป๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐ป๐ถ๐ณ๐๐ป๐ด๐๐น๐ถ๐ฎ ๐ฎ๐๐ฎ.๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ
๐ ๐๐ป๐๐๐ฎ๐ด๐ฟ๐ฎ๐บ,๐๐๐ถ๐๐๐ฒ๐ฟ,
๐๐๐ฟ๐๐ถ๐ณ๐ถ๐ฐ๐ถ๐ฎ๐น ๐ถ๐ป๐๐ฒ๐น๐น๐ถ๐ด๐ฒ๐ป๐ฐ๐ฒ( ๐๐)
๐๐ฃ๐น๐ฎ๐ ๐๐๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป
๐๐ฅ๐ผ๐ฏ๐ฏ๐ผ๐
๐ ๐๐บ๐ฎ๐ฟ๐ ๐ฝ๐ต๐ผ๐ป๐ฒ๐
๐๐๐ฒ๐น๐ถ ๐บ๐๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ฏ๐ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ผ๐ธ๐ผ ๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐๐น๐ถ๐๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐ฏ๐ ๐ธ๐ถ๐น๐ถ๐ฐ๐ต๐ผ๐ธ๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐ถ๐ฐ๐ต๐ผ ๐ป๐ฎ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฎ๐ธ๐ฎ 6, ๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ป๐ด๐ผ๐ป๐ผ ๐ฎ๐ต๐ฒ๐ฟ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ท๐ถ๐ป๐ท 72 ๐๐ฎ๐ถ๐๐๐ฎ๐๐ผ ๐บ๐ฎ๐ต๐๐ฟ๐๐ฟ๐ฎ๐ถ๐ป ๐ป๐ธ