Quran yachomwa moto Sweden

Quran yachomwa moto Sweden

Kuna watu wanadhani Mungu anahitaji utetezi wao mbele ya wengine. Wanasahau binadamu sisi kwa sisi ndio tunaohitajiana kusaidiana na kuteteana. Mungu ni mkuu sana kutuhitaji sisi kumtetea... tena tuna mtete dhidi ya nani? Ambaye labda ni tishio kwake? kitabu chochote kuhusu Mungu kikichomwa haimpunguzii Mungu ukuu wake ni swala la mtu binafsi kuamua kwa fikira zake kutoa hasira zake kwa Mungu au watu wanaomzunguka.
 
Hasira ya kukataliwa kujinga Nato na Uturuki wanahamishia kwenye mambo ya kidini..
Uturuki mbona yupo NSTO tayari, aliruhusu Sweden na Finland kujiunga pia NATO baada ya kukataa mwanzo

Sweden na Uturuki wana ugomvi wao ambao Uturuki anadai Sweden inaunga mkono waasi wa Ki Kurdi
 
Back
Top Bottom