Quran yachomwa moto Sweden

This has to trigger revolution of our mindsets and thinking dynamics. Literally this is private and any illusion to get offended will potentially justify ignorance with abstracts issues in our emotional intelligence learning.
 
Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.
https://www.facebook.com/Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
Huyo jamaa ni mwehu tu, amesahau kilichowakuta wale wachora vikatuni kule Ufaransa, atavuna alichopanda.
 
Kuna watu wanadhani Mungu anahitaji utetezi wao mbele ya wengine. Wanasahau binadamu sisi kwa sisi ndio tunaohitajiana kusaidiana na kuteteana. Mungu ni mkuu sana kutuhitaji sisi kumtetea... tena tuna mtete dhidi ya nani? Ambaye labda ni tishio kwake? kitabu chochote kuhusu Mungu kikichomwa haimpunguzii Mungu ukuu wake ni swala la mtu binafsi kuamua kwa fikira zake kutoa hasira zake kwa Mungu au watu wanaomzunguka.
 
Hasira ya kukataliwa kujinga Nato na Uturuki wanahamishia kwenye mambo ya kidini..
Uturuki mbona yupo NSTO tayari, aliruhusu Sweden na Finland kujiunga pia NATO baada ya kukataa mwanzo

Sweden na Uturuki wana ugomvi wao ambao Uturuki anadai Sweden inaunga mkono waasi wa Ki Kurdi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…