Quran yachomwa moto Sweden

Straight to ignore list.

Unashusha viwango vya mjadala.

Kuanzia hapa sitaona posts zako

Next.
Utajua mwenyewe kwani una faida gani..

Nyie mnasapot ushago unanichefua kinoma wapumbavu kabisa.

Don't com ewith yours stupidity quotes.
 
Hapa Allah kazi anayo kujitetea maana hizi nondo zimeshiba
 
Utajua mwenyewe kwani una faida gani..

Nyie mnasapot ushago unanichefua kinoma wapumbavu kabisa.

Don't with yours stupidity quotes.
Uwe unajibu hoja kwa lugha chanya bila matusi.
 
Wamefanya vizuri sana,
Nategemea waarabu wabongo kwenda kufanya vurugu kule
 
Uwe unajibu hoja kwa lugha chanya bila matusi.
Matusi yapi au Kuna neno mbadala wa nililosema.

Utaka watu wafumbie macho wachezee dini leo Wanachana kesho wanakuja na Qur an mpya, mara mtume, mara manabii mnaangalia tu.

Usicheze na imani za watu kama usivyopenda wazazi wako wachezewe.
 
Utajua mwenyewe kwani una faida gani..

Nyie mnasapot ushago unanichefua kinoma wapumbavu kabisa.

Don't with yours stupidity quotes.

[emoji28][emoji28] wana JF njoon huku kuna majadiliano ya kusikiliza
 
Hapa Allah kazi anayo kujitetea maana hizi nondo zimeshiba
Tatizo washabiki wa mnyaazi hawasomi wala kujibu.

Na wengi hata kusoma hiyo lugha ni mgogoro.

Isitoshe wengi hata Quran hawaijui, kwa sababu hawajui Kiarabu na Quran imesisitiza sana isomwe kwa Kiarabu.
 
Katika uzi nimeona jinsi watu wa Imani ileee walivo na chuki na Uislamu
Pia nimeona ujinga wa watu wa imani ileee

Sasa kashfa zako kwa dini ya kiislamu zitaipunguzia nini Uislamu dah poleni sana na chuki zenu izo
 
[emoji28][emoji28] wana JF njoon huku kuna majadiliano ya kusikiliza
Huyu anataka dini ichezewe ndo chanzo na kuruhusu manabii wa uongo mara kuruhusu ndoa za jinsia moja..kiutani utani watu wakipuuza unashangaa wapumbavu wanavamia dini na kuharibu wanaingiza tamaduni zao.

leo Kuna makanisa ya utapeli ,watu wanafungishwa ndoa kanisani laiti wangekemea mapema wakristo hayo yasingetokea,kundi kubwa la wakristo hawapendezewi na hizo mambo ila walishindwa kudhibiti kutokea mwanzo.
 
Waislamu ni watu dhaifu sana, si wavumilivu
Sawaa ila kuchezea dini ya Uislamu ni mwiko sio nyie uko ety mpk masanja ni mchungaji heeee yni ukitaka pesa kwnye ukristo we jifanye mchungaji hlf jifunze kupiga makelele ovyo tu
Utazila hela za kondoo nyingi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…