R.F. Kennedy Jr. says arab Muslims dont produce science!

NA wanapigwa pale pale kwao, ingawa wazungu wenzake walishamjibu kwamba arudi shule ,masna kunaxwaarabu tayari walishavumbua mambo mengi tu na kushinda nobel ,mzungu huyu ni mpuuzi tu kama wapuuzi wenzake ,kwanza ni teja mbpbezi kwahiyo hatushangai
Hakika
 
Kama sii mafuta Waarabu wangekuwa maskini choka mbaya!

Kuwaiti ni only 30% ya watu wanajua kusoma na kuandika! Yaani maarifa hayana haja kwao kwa vile kuna visima vinatoa mafuta miaka elfu kwa maelfu! Technologia ya kuchimba haya mafuta Ni Waamerika na Wazungu!
 
Mbona hao Waarabu walio toa mchango mkubwa sana kwenye Sayansi hawakupata hiyo recognition?
WAACHE KUTUONA HATUNA AKILI, kama hujawaelewa wazungu, mbinu zao ni "Give a dog a bad name and hang him"
Wakiona nchi ina raslimali nyingi wakitaka kupora, kwanza watamchafua kiongozi wao, na wananchi WAJINGA wanawaunga mkono; then wanaingia wanapora vya kutosha wanatoweka mnabaki na umasikini wenu....

wapate recognition kutoka kwa na nani? kwa nini wao arabs wasijipe hiyo recognition wao wenyewe mpka wengine wasubiri wengine wawape? na kwa nini recognistion mpaka itoke kwa "wazungu"? kwanza siajabu hata aliyefanya research na kuandika hao arabs wote uliowataja siyo arabs wenyewe bali ni western Christiana people, hivyo hata arabs wenyewe dont invest in their own history wanategemea wengine wafanye halafu wanakuja kulalamika mbona wamerukwa, kama hautaki kurukwa fanya research yako mwenyewe khs achievementes zako na usisubiri wengine wakufanyie ....
 
Kama sii mafuta Waarabu wangekuwa maskini choka mbaya!

Kuwaiti ni only 30% ya watu wanajua kusoma na kuandika! Yaani maarifa hayana haja kwao kwa vile kuna visima vinatoa mafuta miaka elfu kwa maelfu! Technologia ya kuchimba haya mafuta Ni Waamerika na Wazungu!

JUKWAA likiwa na watu wanaleta HOJA ZA KIPUUZI KAMA WEWE bila kufanya research hata kidogo; linafanya lionekane halina maana. Kwa taarifa yako; Kuwait ni moja ya nchi yenye watu walioelimika vizuri

Illiteracy Breakdown by Demographics in kuwait
Overall Illiteracy Rate: 2.22%
Kuwaiti Males: 0.17% illiterate (99.83% educated)
Kuwaiti Females: 2.16% illiterate (97.84% educated)

Labda kwa nyongeza;
Kuwait's higher education gross enrollment ratio is 51.9%, according to data from Measured World.
Additional metrics regarding higher education and post-secondary attainment in Kuwait include:
Tertiary Enrollment Ratio: 51.9% of the eligible population enrolled in higher education.
Higher Education Capacity: Kuwait features 16 universities (1 public institution, Kuwait University, and 15 private institutions) according to Educations.com.
 
unaelewa maana ya literacy rate na jinsi inavyopimwa lkn? ni watu wanaojua kusoma na kuandika kwa tanzagiza iteracy rate ni ~80% na siyo kama unavyodhania labda college education ni vitu viwili tofauti, kuwa na high literacy (ingawaje ni jambo jema) lkn haisemi chochote khs how educated a sciety is, bali inasema tu idadi a watu wanaojua kusoma na kuandika kwa tanzagiza kila boda, konda wa dala dala na ata wakulima wanajua kusoma na kuandika hivyo wanaoingia kwenye takwimu za literacy ...
 
Marehemi Baba yake hakuwa na akili za kijinga kiasi hiki.
 
unaelewa maana ya literacy rate na jinsi inavyopimwa lkn? ni watu wanaojua kusoma na kuandika kwa tanzagiza iteracy rate ni ~80% na siyo kama unavyodhania labda college education ni vitu viwili tofauti, kuwa na high literacy (ingawaje ni jambo jema) lkn haisemi chochote khs how educated a sciety is, bali inasema tu idadi a watu wanaojua kusoma na kuandika kwa tanzagiza kila boda, konda wa dala dala na ata wakulima wanajua kusoma na kuandika hivyo wanaoingia kwenye takwimu za literacy ...

Kama hukuwa MUHANGA wa Hesabu unaweza kuelewa hii....
KALE KA NCHI KANA UNIVERSITIES TAKRIBAN 16, HUKU KAKIWA NA POPULATION YA APPROXIMATELY 5MILION.
Kuwait's higher education gross enrollment ratio is 51.9%, according to data from Measured World.
By the way, umedandia gari kwa mbele....rudi kwenye hoja ya aliye itaja Kuwait na sio ya kwako ya Kennedy....
 
Kama hukuwa MUHANGA wa Hesabu unaweza kuelewa hii....
KALE KA NCHI KANA UNIVERSITIES TAKRIBAN 16, HUKU KAKIWA NA POPULATION YA APPROXIMATELY 5MILION.
Kuwait's higher education gross enrollment ratio is 51.9%, according to data from Measured World.

lkn hawatoi noble prize lauriates na hiyo ndiyo point ya rf Kennedy, kama ni university enrolment hata tanzagiza iko juu pia lkn kuna tafiti gani yoyote ya maana ktk tanzagiza? hivyo hata hao kuwait ni hivyo hivyo kwanza wanafunzi bright wa kuwait akitaka kufanikiwa in maths, sciencee and engineering ni lazima atahamia universities zilizoko west na siyo arab universities, sasa ni kwa nini wakati kama ni fedha arabian world ziko hivyo fedha siyo tatizo, sasa kwa nini arabs elite wote wanakwenda west kusoma? angalia oil rich gulf states elite wao wote ni western educated, why?

hayo ndiyo mambo rf Kennedy aliyoonglea sema kama kawaida muslims and communists wanamu-attack kwa kusema ukweli ....
 
Wewe umegundua nini?

Literacy level yako ikoje kama hata kuandika comprehensively kama mtu aliyejifunza hata 3R au KKK iko hivi?
 
mada hainihusu mimi wala black people, inahusu aliyoyasema rf Kennedy jr khs arab muslims, hakuongelea (kennedy) khs black peolple bali khs arab muslims, kuna mada za kutosha khs black people kama mimi lkn siyo hii ...
 
Usitake kumtetea RFK Jr. Amechemka sana na amevurunda. Sijui unataka kumtetea nini, eti hoja yake pana.

Kwamba hakuna waarabu wanaowin Nobel Prize?! Tuanzie hapo kwanza.

Waarabu pia wana mchango wao hata katika karne ya 21 katika Sayansi na Teknolojia.

Sikuwa najua kuwa RFK Jr ni mjinga kwa kiasi hiki. Au sijui ndio anajitoa akili makusudi?!
Nitajie huo mchango wa waarabu waislamu elewa "waarabu waislamu" wenye mchango kwenye Sayansi na Teknolojia karne hii na hata ya 20

Walioshinda tuzo ya nobel wapo watatu ni wamisri ila wengi wa walioshinda ambao ni waislamu sio waarabu
 
Usitake kunipotezea muda kwenye jambo la wazi! Unless kama unataka kuni troll au unani rage bait! Lakini huwezi kuniambia kuwa uko serious kabisa!

Rfk Jr kachemka na kasema uongo wala huna haja ya kumtetea. Na uongo wa kwanza kabisa kasema uongo kuwa Waarabu hawa produce Science, hajasema tu "Waarabu Waislam" kasema Waarabu kabisa! (Ijapokuwa Waarabu Waislam wana mchango mkubwa tu katika Science na Technology). So usitake kuleta ubishi sehemu ambayo hutakiwi hata kuweka ubishi!

Na bado kuna uongo mwengine aliousema.

Kama hutaki kukubali kuwa kachemka, hiyo ni juu yako, usiniletee "sophistry". Kama hata Google au hata AI haijaweza kukusaidia katika jambo la wazi kama hili, hapa utakuwa unaniletea "sophistry" au mbaya zaidi unataka tu kunitroll.
 
Kwanini utumie google iliyoundwa na kumilikiwa na mzungu muyahudi?

Kwanini utumie AI ya Sam Altaman Mzungu na muyahudi?
Au niende meta? 😆

Hakuna vya waarabu waislamu?
Nina hoja nzito sana ila kwa namna yoyote ile hazitafanikiwa kwa sababu umezaliwa kwenye dini hiyo nawajua vizuri
 
Just being a stupid and vile bigot as always

Stupidity is as free as is internet

“Arab Muslims don’t produce science”?

Apparently, someone has never opened a history book.

Al-Khwarizmi helped establish algebra.
Ibn al-Haytham revolutionised optics.
Al-Razi advanced clinical medicine.
Ibn Sina (Avi Cenna) wrote the Canon of Medicine, which was taught in European universities for centuries.
Al-Zahrawi transformed surgical literature.
Ibn al-Nafis described pulmonary circulation.
Al-Jazari designed sophisticated mechanical machines centuries before modern industrial engineering.

Who is Steve Jobs? A son of Syrian father, Abdul Fattah Jandal

Ever heard of Nagib Mahfoudh, Ahmed Zewajl, Mohammed El Baraldei, Mohammed Yunus, Aziz Sankar, Tanzanian-born Abdulrazak Gurnah? Etc

These were not motivational speakers or religious storytellers. They were scientists whose documented work contributed to the foundations of disciplines still studied today.

Scientific achievement is not an ethnic or religious monopoly. Modern science belongs to humanity.

You may criticise the present scientific output of Arab countries, but claiming Arabs and Muslims have never produced science is historical illiteracy.
Spot on mate
Vijana wa leo ni kuangalia nani amesema anachokichukia binafsi

Nimeshangaa sana na kauli ya kijinga hiyo ya Waziri
Naona amejiaibisha tu
Ila lazima atakuwa amejibiwa na kurudishwa nyuma miaka
Atakae kuelewa na akuelewe
 
Hivi ukiulizwa swali kwanini unawatetea waarabu waislamu utajibu nini?
 
spot on, msikilize waziri wa afya wa USA Robert J F Kennedy jr , anasema kuna 500 million arab muslims duniani and they dont produce science, na jinsi muslims walivyo-destroy education kila walipoenda, msikilize.

"there’s 500 million Arabs in the world. And yet they don’t produce science. They don’t win the Nobel Prize. They don’t win the Fields Prize. They don’t win the Wolf Prize. They don’t produce literature"- Robert F.Kennedy Jr.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Na_xBpI2v5A&t=36s

muslims destroy nations ...

wao wameendelea wamezalisha mashoga mpaka wengine ni viongozi

The following list includes all openly LGBTQ heads of state and government. Politicians are listed based on the start of their tenures as national leaders.

* denotes an incumbent leader of a sovereign state

NamePortraitCountryOfficeType of leaderTenure startTenure endTerm lengthSexual orientation[a]
Jóhanna SigurðardóttirPortrait of Jóhanna SigurðardóttirPrime MinisterHead of government1 February 200923 May 20134 years, 111 daysLesbian[1]
Elio Di RupoPortrait of Elio Di RupoPrime MinisterHead of government6 December 201111 October 20142 years, 309 daysGay[2]
Xavier BettelPortrait of Xavier BettelPrime MinisterHead of government4 December 201317 November 20239 years, 348 daysGay[3]
Leo VaradkarPortrait of Leo VaradkarTaoiseachHead of government14 June 201727 June 20203 years, 13 daysGay[4]
17 December 20229 April 20241 year, 114 days
Ana Brnabić*Portrait of Ana BrnabićPrime MinisterHead of government29 June 201720 March 20246 years, 265 daysLesbian[5]
Acting PresidentHead of state28 September 2026Incumbent32 days
Xavier Espot Zamora*Portrait of Xavier Espot ZamoraPrime MinisterHead of government16 May 2019Incumbent7 years, 167 daysGay[6]
Paolo RondelliCaptain RegentHead of state1 April 20221 October 2022183 daysGay[7]
Edgars Rinkēvičs*Portrait of Edgars RinkēvičsPresidentHead of state8 July 2023Incumbent3 years, 114 daysGay[8][9]
Gabriel AttalPortrait of Gabriel AttalPrime MinisterHead of government9 January 20245 September 2024240 daysGay[10]
Rob Jetten*Portrait of Rob JettenPrime MinisterHead of government23 February 2026Incumbent249 daysGay[11]

[td]
40px-Flag_of_Iceland.svg.png
Iceland

[/td]
[td]
40px-Flag_of_Belgium_%28civil%29.svg.png
Belgium

[/td]
[td]
40px-Flag_of_Luxembourg.svg.png
Luxembourg

[/td]
[td]
40px-Flag_of_Ireland.svg.png
Ireland

[/td]
[td]
40px-Flag_of_Serbia.svg.png
Serbia

[/td]
[td]
40px-Flag_of_Andorra.svg.png
Andorra

[/td]
[td]
20px-Flag_of_San_Marino.svg.png
San Marino

[/td]
[td]
40px-Flag_of_Latvia.svg.png
Latvia

[/td]
[td]
40px-Flag_of_France.svg.png
France

[/td]
[td]
40px-Flag_of_the_Netherlands.svg.png
Netherlands

[/td]​

​

Lists of heads of state and government

hahaha hilo nalo neno, lkn cha ajabu millions of mulims wanamiminika kwenda kuishi huko kwa "mashoga" wako tayari kufa majini kufika huko, lifes not fair ...
 
Hivi ukiulizwa swali kwanini unawatetea waarabu waislamu utajibu nini?
Hapa hakuna utetezi bali facts
Siku hizi hakuna kubishana yale mabishano ya kale mradi kubisha, hapana
Kama hujui kitu unajisomea
 
hahaha hilo nalo neno, lkn cha ajabu millions of mulims wanamiminika kwenda kuishi huko kwa "mashoga" wako tayari kufa majini kufika huko, lifes not fair ...

na mamilioni ya wazungu wanamiminika kwenda nchi zenye waislam huko wanatafuta nini ??
 
Waliomuua JF Kennedy wangesubiri wakamuua huyu JFK Jr
Huyo ni mtoto wa mdogo wa Rais John Fitzgerald Kennedy, ambaye alikuwa Attorney General wa Marekani, Robert Francis Kennedy nae huyu aliuliwa kwa risasi akiwa kwenye kampeni zake za Urais.
 
Back
Top Bottom