Hivi ukiulizwa swali kwanini unawatetea waarabu waislamu utajibu nini?
Code opened bravo 👏Mbona hao Waarabu walio toa mchango mkubwa sana kwenye Sayansi hawakupata hiyo recognition?
WAACHE KUTUONA HATUNA AKILI, kama hujawaelewa wazungu, mbinu zao ni "Give a dog a bad name and hang him"
Wakiona nchi ina raslimali nyingi wakitaka kupora, kwanza watamchafua kiongozi wao, na wananchi WAJINGA wanawaunga mkono; then wanaingia wanapora vya kutosha wanatoweka mnabaki na umasikini wenu....
Swali ni jepesi sniper kwanini unawatetea waarabu waislamu wewe ni nani wanakunufaisha nini wale?Hapa hakuna utetezi bali facts
Siku hizi hakuna kubishana yale mabishano ya kale mradi kubisha, hapana
Kama hujui kitu unajisomea