Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.
RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo zako 'tajiri na gari yake masikini na watoto'[/QUOTE
R.I.P Mwanamziki mahiri Remmy Ongara
R.I.P. Mr Remmy OngalaKwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.
RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo zako 'tajiri na gari yake masikini na watoto'
RIP Dr Remy Ongala.
Jamani marehemu alikuwa ni dokta wa nini??