R.I.P. Dr. Remmy Ongara

R.I.P. Dr. Remmy Ongara





We will Miss You Remmy!!
 
Last edited by a moderator:
Innah Lilahi wa inaah illahi Rajioun, Kila Nafsi itaonja kifo!!!!!, Nenda salama!!
 
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.

RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo zako 'tajiri na gari yake masikini na watoto'[/QUOTE

R.I.P Mwanamziki mahiri Remmy Ongara
 
Ooooops!!!!!!!!!!!!! Mwanza eeeeeeeeeeeee!! mwanza mwanza kwetu duuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!! jamani Remmy...........................................

na ule mwingine Dodoma....aiseeeee....................................................................................................................R.I.P
 
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.

RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo zako 'tajiri na gari yake masikini na watoto'
R.I.P. Mr Remmy Ongala
 
OOH masikini !Mungu amlaze pema peponi!Amen
 
R.I.P Ramadhan Ongala.
Nakumbuka enzi ya mdundiko na nyimbo yako ya MDUNDIKO.
 
Watz, gwiji wa muziki hapa Tz na duniani amefariki dunia.Remmy alikuwa amelazwakatika hospitali ya Muhimbili kwa muda mrefu. Mungu ailaze mahali pema peponi, Amen!
Source..Radio Deusche velle..Ujerumani
 
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioon
"To Allah we belong and to Him is our return"
 
ohh maskini. Pole kwa fammilia katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom