R.I.P. Dr. Remmy Ongara

Kifo hakina huruma.Kifo kilimchukua Chinyama Chiaza mlezi wa maquiz.
Nimekumbuka wimbo wa Dr Remmy kila nikiusiliza nawakumbuka washikaji wangu waliotangulia mbele ya haki.

RIP Dr Remmy.
 
Lenye mwanzo halikosi mwisho........nasi tuendelee kujiandaa.......................
 
pumzika kwa amani baba mwenye nyuma wangu..sasa ndo ntaanza kuzinguana na akina kali kuhusu kodi
 
Kifo hakina huruma.Kifo kilimchukua Chinyama Chiaza mlezi wa maquiz.
Nimekumbuka wimbo wa Dr Remmy kila nikiusiliza nawakumbuka washikaji wangu waliotangulia mbele ya haki.

RIP Dr Remmy.


Mbele yake dokta remy nyuma yetu sie wana JF, mola amuweke mahali panapostahiki

 
Last edited by a moderator:
R.I.P Daktari wa Muziki Ramadhani Mtoro Ongara....Hakika hili ni pigo kwa tasnia ya muziki Tanzania...Kweli kifo hakina huruma....Hakika nitakukumbuka kwa mchango ako mkubwa katika kuendeleza na kuutangaza uziki wa Tanzania ndani na nje ya nchi...

Pole ziwafikie familia hasa mkewe Tony na watoto Kalimangonga(Kally),Jessica,Goddy na wengine....Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani....Amina
 
kweli kifo hakina huruma!

R.I.P Remmy Ongala
Nakumbuka baadhi ya maneno kwenye huu wimbo alikiomba kifo siku yake ikifika kimtaarifu,
Ajinunulie sanda yake mwenyewe
Achimbe kaburi lake mwenyewe
Aweke mambo yake sawa ili hata akiondoka kusiwe na tatizo nyuma yake....
 

pamoja kaka..lakini huyu kally atanizingua kweli kwenye nyumba lazima atapandisha kodi huyu..dahh pumzika kwa amani Dr. wangu Remmy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…