Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu alitoa na Mungu ametwaa, jina la Mungu lihimidiwe. Amin
Lenye mwanzo halikosi mwisho........nasi tuendelee kujiandaa.......................
Kifo hakina huruma.Kifo kilimchukua Chinyama Chiaza mlezi wa maquiz.
Nimekumbuka wimbo wa Dr Remmy kila nikiusiliza nawakumbuka washikaji wangu waliotangulia mbele ya haki.
RIP Dr Remmy.
kweli kifo hakina huruma!
Mungu ampokee kijana wake.
Mungu awafariji wafiwa na Watanzania wote
Aaamin.
R.I.P Daktari wa Muziki Ramadhani Mtoro Ongara....Hakika hili ni pigo kwa tasnia ya muziki Tanzania...Kweli kifo hakina huruma....Hakika nitakukumbuka kwa mchango ako mkubwa katika kuendeleza na kuutangaza uziki wa Tanzania ndani na nje ya nchi...
Pole ziwafikie familia hasa mkewe Tony na watoto Kalimangonga(Kally),Jessica,Goddy na wengine....Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani....Amina