R.I.P. Dr. Remmy Ongara

R.I.P. Dr. Remmy Ongara

Mungu hahusiki jamani, hebu someni vizuri kitabu cha Ayub mtaelewa alisema maneno hayo bila ujuzi bila kufahamu kilichokuwa kikiendelea kati ya Mungu na Shetani na isitoshe katika Ayub sura za 42 alitengua usemi huo na yale yote akidhani Mungu ndiye alikuwa akimtendea. Wachungaji walitudanganya, tukafikiri Mungu anahusika katika vifo vinavyotokea. Wengine wanasema "Tulimpenda marehemu lakini Mungu kampenda sana au Mungu anavuna alichopanda. Lakini unaweza kuangalia matokeo ya vifo kwa mfano. Unaaenda kutembeza umalaya unakumbana na virus vya ukimwi baada ya muda unakufa, Mungu ndiye aliyekutuma ufanye umalaya??? si alisema mzinzi hataurithi ufalme wa Mungu sasa atakutumaje. Jambo tunapaswa kujifunza ni kwamba Mungu karuhusu kifo cha mwanadamu lakini hasababishi kifo hicho, kuna tofauti kati ya kurusu na kusababisha. Ukitaka maelezo zaidi soma kitabu cha Mhubiri.

Hivyo usemi huo tunaendelea kuutumia kimakosa. Mimi namuomba Mungu aipe nguvu za familia ya mzee Remmy kukabiliana na msiba huu kwani ni kipindi kigumu kwao cha kumpoteza mpendwa wao. Na aiangalie familia hiyo ili iendelee kupata mahitaji yake ya kila siku. Amen.

Duuuuu!

Huyo Mungu unayemwamini ni mkali kweli!!!!!

Ni namna tu ya kuongea kuwa Mungu anawaita kwake watu toka Dunia hii. Wala kifo mbele ya Mungu si adhabu bali ni kuhamisha watu toka Maisha ya Duniani na kuwaweka kwenye umilele, kadiri ya matendo yetu hapa duniani: ama raha ya milele au kuangamia.

Hawajakosea hata kidogo waliosema hivyo kwani Maisha yetu yamo mikononi mwa Mungu. Mungu ndiye mtoa uhai naye pia ndiye huturejesha kwake.
 
Roho wa Mungu ndo nani tena! Mwenyezi Mungu ailaze pema peponi roho yake. Amin

Hahahahaha lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nimecheka sana, vitu vingine vnafurahisha anyway!!!:brick:
 
Remmy Ongala: Tanzania music fans mourn 'the Doctor'

_50407506_efa9a1e2-1879-4452-bfe3-300ee5aa02d7.jpg
Remmy Ongala often appeared at the Womad music festival
One of Tanzania's most popular musicians, Remmy Ongala, has died at his home in Dar es Salaam.
Born in neighbouring Democratic Republic of Congo in 1947, he was known as "the Doctor" because he was seen as a defender of the people.
His songs often criticised Tanzania's elite and at the height of his popularity the government tried to expel him on immigration grounds.
But as his international fame grew, he was granted Tanzanian nationality.
His mix of Congolese "soukous" music and Swahili rhythms made him popular across East Africa.
He was also a regular performer at the Womad music festival in the UK until he fell ill 10 years ago and was paralysed.
Presidential fan Despite his ill-health he had toured in Tanzania until recently, mainly performing gospel music.
The BBC's Hassan Mhelela in Dar es Salaam says all radio stations in the country are playing his music and fans are phoning in with tributes.
By the time of his death, even President Jakaya Kikwete was a fan, recently visiting him in hospital.
Ongala often wrote about death - one of his most well-known tracks is Kifo, about the mercilessness of death, saying no matter how rich a person, bribery cannot postpone it.
The singer and guitarist moved to Tanzania in 1977 and joined the Orchestra Super Makassy, until he formed his own group Super Matimila.
He said his music was intended not only to make people dance but also to think.
"I am successful in Tanzania because I write songs about serious topics," his music label, Real World Records, quoted him as saying.
In 1990, he faced opposition to his song Mambo Kwa Socks (Things With Socks) - a reference to condoms - in which he made a plea to young men to practise safe sex.
Radio Tanzania has refused to play it, but live shows and black market tapes have ensured that his message has spread.
Our reporter says there is even a suburb of Dar es Salaam called Sinza Kwa Remmy, named after the musician when he moved to the area in the 1980s.


BBC News - Remmy Ongala: Tanzania music fans mourn 'the Doctor'
 
Nilikuwa nakubaliana sana na vile alivyo.Siku zote za Maisha yake Dakta aliishi vile maisha anayoyaweza na si ya kuigaiga.
 
Wandugu wapenzi...
Hii thread ni thread ambayo tutakuwa tukikumbushana Nyimbo za Dakta kama ni Verse ama Chorus ama vibwagizo ambavyo kila mmoja wetu anavyo vikumbuka...
 
wandugu wapenzi.
Hii nyimbo ni nyimbo ya ukumbusho
Ya siku ya kuzaliwa na siku ya kufa, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo...

''Nyimbo hii inasemeka alimpiga kijembe Baba wa Taifa nwaka 1978 pale Mchonga alipowataka wanamuziki wa kigeni watimke nchini haraka iwezekanavyo''...

Anaendelea kwa kusema:
Mawazo mawazo
Ya Mutu muzimaa
Kama akikwambia neno usibishee

Neno ya muzee ukabisha
Mwisho utapata shidaaaa...
 


...aaahh, R.I.P Ramadhan Mtoro Ongala, R.I.P Dr Remmy! Thanks for the music!!! :Cry::Cry::Cry:



...memories!!!



...aaahhh, miaka hiyooo...





...Ahsante Dr Remmy, ...kazi yako umeitimiza, thanks for the music!
 
Last edited by a moderator:
...njia yetu sote hiyo. Mwenzetu ametutangulia nasi tu njiani. Dr Remmy, thanks for the Music!!!
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake pahala pema peponi, Amen!
 
1.Narudi nyumbani...
2.Mariam wangu...Tanga mbali wee... waja leo waondoka leo...

Asante Mbu kutuwekea hapa
 
Kifo hakina huruma ni moto sana kama unajua muziki na mpangalio yake kidogo utanielewa nasema nini
 
Probability of death to a human being is 100%. RIP Dr. Remmy
 
Kifo oh kifo,kifo oh,kifo oh, kifo hakina huruma .....

Rip dr remmy..
 
Kifo oh kifo,kifo oh,kifo oh, kifo hakina huruma .....

Rip dr remmy..

Kama nilivyosema awali wewe unajua nyimbo nadhani wanaojua muziki angalau kidogo wataungana na cc. Hasa kwenye lile gita lileeeeeeeee tint tint tint ndtint ta ta..ta taa ta taa........malizia huko bana brandon
 
Namkumbuka kwa wimbo wa Mwanza na Nalia Mume.
Mimi na Mume wangu tulianza nae Mwanza,
Harusi ikafanyika Mwanza
Baada ya siku chache, tukaja nao ko Darsalama
Naacha kwetu kwa baba na mama na furaha yote....
......
Baada ya siku chache, simwoni mume nyumbani...
......
Wanaume wa sasa hawana uaminifu,
Huwadanganya wana wa wenzao
 
Duh! jamaa ana wimbo mmoja sijui jina lake lakini ni wa promotion ya condom, baadhi ya maneno yake " mambo mambo kwa soksi....shangazi na mjomba kwa soksi...." humo ni kufuru tu....
 
Nyimbo za mwanzo za Remmy akiwa na Makassy ni Molema, uliotungwa na Mosesengo Fan Fan

Namolema, namolema,
Nikisema na Vicky unakasirika,
Ukinipenda mimi, usiwe na wivu,
Wivu wako utakuponza,.....
 
Back
Top Bottom