Daaa, zile swagg zake za masketi charanga, herein ndefu na nywele nyingi ilinivuyia sanaa.RIP
D uuuuuuuuuu
alidanja on Feb 16th..aged 44.. but she even looked younger than Wema Sepetu..dah amedanji lini jama
me nlikua nampenda huyu dadaa!!
Zilikuwa zinamtoa kwelii, na ile figure!!
Wajomba/shangazi zenu wa kule Isenjele wakifariki muwe mnakuja kututangazia pia
alidanja on Feb 16th..aged 44.. but she even looked younger than Wema Sepetu..
Wajomba/shangazi zenu wa kule Isenjele wakifariki muwe mnakuja kututangazia pia
Ooh...
Wema Sepetu kaingiaje hapo