R.I.P Isabel Arroyo (Lorena Rojas) wa Second Chance

Aa aaaah, Sasa ulikuwa unafanya nn? Umezid umbea binam yangu, na umeongozana na msukuma?

Eee nimemuaibishajeee akasema itabidi niwe nasafiri nae nisiwe nashangaa,basi tukaenda kariakoo nikavaa zile taiti zenye mfuko zimeandikwa utajiju nikaficha simu yangu na tablet na mkoba nikaubana kwapanii yaan nilikua nimejiandaa si utaniii basi ungechekajeee weweee
 
Jamani nisije nikachanganya madesa...maana enzi zile fulu kuangalia matamthilia.Second chance ni ile ya kina mamushka,Pacco na preta

Ile ni ya kina cantalisia, Pedro Jose, Salvador na mzee Walter!
 
Walter na ile saa yake, baba alikuwa mbea mpaka mtu unaogopa!
 
Eee nimemuaibishajeee akasema itabidi niwe nasafiri nae nisiwe nashangaa,basi tukaenda kariakoo nikavaa zile taiti zenye mfuko zimeandikwa utajiju nikaficha simu yangu na tablet na mkoba nikaubana kwapanii yaan nilikua nimejiandaa si utaniii basi ungechekajeee weweee

AHAhaahah, yani binamu umenichekeshaje?? Khaaa
 
Jamani nisije nikachanganya madesa...maana enzi zile fulu kuangalia matamthilia.Second chance ni ile ya kina mamushka,Pacco na preta

noo best ile inaitwa shades of sins
hii ya isabel second chance
 
Wajomba/shangazi zenu wa kule Isenjele wakifariki muwe mnakuja kututangazia pia
Sasa huko Isenjele ni Tanzania?usikute unatutajia maeneo ya sudan ya kusini
 
Back
Top Bottom