R.I.P Isabel Arroyo (Lorena Rojas) wa Second Chance

R.I.P Isabel Arroyo (Lorena Rojas) wa Second Chance

Haaaaaaaaa Msukuma angekubembeleza.

Usingizi umekata hapa najutraa

Hhhaaaaaa mi kaniamsha hapa ndio nikaingiaaa kila mtu yupo busy na simu kwa hiyo nikijiliza ni kazi bureee naweza ongezewa kofi juuu,ile kesi gani tenaaa niliona
 
I like her beautiful cheeks... Sijawahi kuiona hiyo Second Chance though nilipata kumuona mara chache chache kwenye Impostor! Pamoja na kucheza part isiyompa nafasi ya kunyuka outfits zizlizoenda shule lakini bado urembo wake unaonekana kwenye hizo hizo nguo za kawaida supported with no make up! RIP Mimi Morales...
 
On 16 February 2015, Rojas died of breast cancer, aged 44, in Miami, Florida. She had been battling the disease since 2008, and it had spread to other organs, including her liver.
 
dah huu dada nilimpenda sana jamani haya kila nafsi itaonja umaut kutangulia ndo kugumu
 
You were such a beautiful and talented woman, cancer has taken you too soon. Am praying for the day when the world will defeat cancer. R.IP
Lorena Rojas, a popular Mexican actress who starred in more than a dozen soap operas, has died aged 44 following a lengthy battle with cancer.
She was diagnosed with breast cancer in 2008 and became an advocate for cancer education in Latino communities.
The actress passed away at her home in Miami. Her last message to her fans was sent on Twitter less than a week ago.
In the birthday message, she wrote: "Thank you all for celebrating my birthday with me. Beautiful day."
Rojas starred in such acclaimed Spanish soaps as El Cuerpo del Deseo, Pecados Ajenos, Alcanzar Una Estrella and, most recently, the series Demente Criminal.

She also appeared in films such as Manos Quietas and Aventurera.
In addition, the actress wrote and recorded an album of children's music called Hijos del Sol, which was inspired by her daughter Luciana.
Rojas was initially thought to have made a recovery after her original breast cancer diagnosis. But in 2012 she was told her cancer had spread to her bones, and last year the tumour spread to her liver.
Her boyfriend, family and friends were by her side when she died, her agent Latin WE said.
A statement from Latin WE said: "Lorena takes a step into eternal life leaving as her greatest legacy the love for animals and for art in all its forms, her tender devotion to her daughter, her passion for life, the appreciation of all her Lobitas and fans who she loved until the end
 
Oh!!
Alijua kuvaa uhusika !!
Zile charaaaanga tyuuu na hereni.!!
Bila kusahau kiuno na ule mwendo!!
Udongo unakula huu kwa hakika!!
 
Oh!!
Alijua kuvaa uhusika !!
Zile charaaaanga tyuuu na hereni.!!
Bila kusahau kiuno na ule mwendo!!
Udongo unakula huu kwa hakika!!

Alikuwa ana uwezo wa kuigiza sana, apumzike kwa Amani
 
Daaa, zile swagg zake za masketi charanga, herein ndefu na nywele nyingi ilinivutia sanaa.RIP

Alikuwa anajiamini sana, full swagger then alikuwa hanaga ushoga na mtu kabisa, alikuwa anaishi maisha ya kipekee mno
 
Nilikua napenda alivyokuwa akizinguana na aunty yake rebbeca aka Dinazarde, yule mwanamke alikuwa wa kipekee sana

umeona eeh
na yule binamu yake valeria nilikua nampenda
na geitana jerry zile charanga
walter nae jamaniii!!
 
Last edited by a moderator:
second chance...!!!
elcuerpo deseo...!!!
walter ile mimacho sasa!!
 
Back
Top Bottom